Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee sio fresh eti bado 80. kumbuka nao ni binadamu
Usiwe mjinga!Kenya tungekua na akili finyu kama zile za jiwe tungeban ndege za US kutua Kenya sababu Trump ameban Kenya kwenda US [emoji23][emoji23]
Danganyika ni kituko cha nchi.
Si ndo nyie mlikuwa mnasema Tanzania tunakufa kama kuku leo umesahau?.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Hatujui mnavyokufa maana mlishaficha hamtaki kusema, ila corona haiui wengi Afrika kama Ulaya, vifo vya huku vinafichika, haswa kwa waliojichokea kwenye umaskini kama nyie.
Afrika unaweza hata ukaficha vifo 10,000 haswa kwa taifa la kiujamaa kule ambapo huwa hamna mwenye jeuri ya kuhoji, wote mumeshikiliwa ubongo.
Tungetaka kuficha hao 420 haingekua kazi ngumu maana ni kwa miezi yote tangu corona ianze kutupiga, ila kwa namna Wakenya tulivyo, hauwezi ukaficha, sisi tunakuumbua.
[emoji16][emoji16][emoji16].mbona nyie mnashindwa kuficha kama ni rahisi.?.
Mlituma hadi waandishi wenu wa habari kuja kutuchunguza Ila MUNGU alikuwa upande wetu..
Sisi mliotuona ni wazamani tumefaulu ila nyie wa kisasa namba inapaa.
Mrudieni MUNGU.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Na sisi ndo tunavyopenda mzidi kutangaza vifo vya corona tuone mwisho wenu utakuwa je
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Vifo vyetu hatutangazii Watanzania, tunavitangaza maana sisi sio mifugo kwamba watu waachwe wateseke ndani kwa ndani na kujifia, aisei ujamaa...
Hatuwezi tukaficha maana Wakenya sio maboya wakushikiliwa akili, tungemvuruga sana rais akithubutu. Tunataka tuambiwe kama ilivyo, ujamaa wenu huo ni laana.
Huwaga ni kama ana wazimu huyu jamaaMkitangaza hivyo vifo ndo vifo vinapungua na ugonjwa kuondoka?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
yaani wakenya sijui mlilogwa na nani, sisi watz ni bora tuwatii viongozi wetu tulowapa dhamana kuliko kuendeshwa na mabeberu ambao kila walifanyalo huangalia maslah mbeleHatuwezi tukaficha maana Wakenya sio maboya wakushikiliwa akili, tungemvuruga sana rais akithubutu. Tunataka tuambiwe kama ilivyo, ujamaa wenu huo ni laana.
Mkuu, mnapambana na corona au mnapambana na kitu kingine? Mbona maambukizi hayashuki sasa?Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.
Sasa kama haiui sana Africa mbona mnaiogopa sana??Corona haiui sana Afrika, hata huku kwetu miezi yote hii tuna vifo vichache sana ukilinganisha na uzunguni au uarabuni wanakokufa kwa maelfu, hiyo Dar ina watu milioni sita, mkifa watu kumi kwa mwezi kisa corona vinafichika virahisi tu, maana ukizingatia nyote mumeufyata hata ndugu yako akifa kwa corona hauwezi ukaitangaza mnaifanya siri ya ndani la sivyo utatukanwa sana na Watanzania haswa walio mlengo wa serikali.
Sasa kama haiui sana Africa mbona mnaiogopa sana??
Watoeni nduki hukoNi upumbavu wenu tu...unazuia jirani kuja kwako kisa ugonjwa halafu wewe unakwenda kwa nyumba yake kufuata nini sasa?
Hapa Songea kuna wimbi la wakenya wanaonunua mahindi kuleta huko Kenya kwa nini serikali yenu isiwazuie kuja ama kurudi humo?