Marekani yawaonya Raia kwenda Kenya sababu ya COVD19

Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.
Naona wakenya mmeanza kutumia mbinu za tz za kutumia malimao na ndimu pamoja na tangawizi hadi bei ya ndimu na malimao zimepanda hapa tz juzi nilienda kununua mahindi choma nika sikia muuzaji akilalamika kuwa kunamteja tatia ndimu nyingi kwenye Hindi wakati bei ya ndimu na malimao zimepanda ndiyo nikakuta Uzi humu kuwa wakenya ndiyo mmesababisha
 
Nyie ma bwege kweli mtabaki hivyo hivyo hao wazungu wa KLM kama wasinge jiridhisha wasinge leta RAIA wao sehem ambayo ni hatarishi
Wazungu wamesha kubali wenyewe kuwa Tz ni salama salimini.
 
Hamna si unaona mwenyewe.
Watu 420 wamekufa kwa corona.

Ebu Anza kuhesabu kuanzia 1 mpaka 420.
Ni watu wengi sanaaa tenaa sanaa.sasa hao ni wale ambao serikali ya Kenya imerekodi visa vyao.acha wale wanaokufa majumbani na wale wa vijijini ambao hawawezi kufika hospitaliniView attachment 1532708

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Chini ya kapeti wakenya 1590 wamesha kufa kwa korona
 
Msiba mzitooo.

Kwanini kenyata anawaruhusu wakenya kuzurura ovyo na maambukizi hayo makubwa?

Awafungie ndani kuanzia asubuhi mpaka jioni na usiku pia.wasitoke nje kidogo itasaidia kupunguza maambukizi mapya bado hawajachelewa
Chini ya kapeti wakenya 1590 wamesha kufa kwa korona

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Msiba mzitooo.

Kwanini kenyata anawaruhusu wakenya kuzurura ovyo na maambukizi hayo makubwa?.
awafungie ndani kuanzia asubuhi mpaka jioni na usiku pia.wasitoke nje kidogo itasaidia kupunguza maambukizi mapya bado hawajachelewa.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Waache wanatafuta kutengwa na mabeberu ambao ndiyo msingi wa uchumi wa Kenya tofauti na tz Uhuru ana itafuta SUPER SMART LOCKDOWN maana hiyo lockdown italazimishwa na wazungu itakuwa mbaya sana wageni wote na taia wa Kenya wenye asili ya Asia wanao shikilia uchumi wanakwenda kuikimbia Kenya very soon MK254 Tony254 komora096
 
Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.
mbona sisi jpm alipokuwa anatutoa uoga mlituona wajinga?

mnapita njia tulizopitia sisi kimya kimya kwa aibu.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Kenya tungekua na akili finyu kama zile za jiwe tungeban ndege za US kutua Kenya sababu Trump ameban Kenya kwenda US [emoji23][emoji23]
Danganyika ni kituko cha nchi.
US ni baba yenu hamuwezi kupata ujasiri hata wa kumkosoa sembuse kuzuia ndege zake kwenu.

Sasa unaona moivyo dhaifu?

yeye kazuia za kwenu nyie mnaruhusu za kwake.

hamjitambui

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
mbona sisi jpm alipokuwa anatutoa uoga mlituona wajinga?

mnapita njia tulizopitia sisi kimya kimya kwa aibu.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app

Hautoi uwoga kwa kukaripia ugonjwa, unatoa uwoga kwa kupima na kutoa takwimu, hamna kitu cha hovyoo kama kuishi mnavyoishi yaani hamjijui japo mumejipa mzuka wa kujiaminisha corona imeikimbia Tanzania kisa rais aliongea, lakini wengi wenu kwenye nyoyo zenu ndani kwa ndani mnaujua ukweli kwamba corona ni tatizo la kisayansi na halimalizwi kwa matamko ya wanasiasa.

Leo hii kwenu mumefanya corona kama gonjwa la aibu, hakuna Mtanzania anayeweza kujitokeza sasa hivi na kukiri anaumwa corona, atatukanwa sana na kunyanyapaliwa, huo ndio tunaita uwoga na kushikiliwa akili na wanasiasa, hamna uwezo wa kuhoji.

Juzi aliyekua rais wenu marehemu Mkapa alipoaga dunia ghafla, ikawa hofu kote, familia ikapata tabu sana kueleza kwamba rais kafa kwa malaria, hayo maisha ya hovyoo kabisa, yaani mumefanya nichukie ujamaa, maana nchi yote hadi wataalam wote chali hakuna mwenye jeuri ya kuhoji chochote.

Bora huu uhuru tulio nawo huku.
 
Utaficha wagonjwa wa corona ila sio VIFO.
Hoja yako bado ni DHAIFU.
Tanzania hakuna CORONA.wala maambukizi ya corona wala vifo vya corona..
HATA KAMA HATUPIMII WATU ILA KAMA CORONA INGEKUWEPO INGEONEKANA MATOKEO YAKE..
TAYARI MMEZIKA WATU 420
Hautoi uwoga kwa kukaripia ugonjwa, unatoa uwoga kwa kupima na kutoa takwimu, hamna kitu cha hovyoo kama kuishi mnavyoishi yaani hamjijui japo mumejipa mzuka wa kujiaminisha corona imeikimbia Tanzania kisa rais aliongea, lakini wengi wenu kwenye nyoyo zenu ndani kwa ndani mnaujua ukweli kwamba corona ni tatizo la kisayansi na halimalizwi kwa matamko ya wanasiasa.

Leo hii kwenu mumefanya corona kama gonjwa la aibu, hakuna Mtanzania anayeweza kujitokeza sasa hivi na kukiri anaumwa corona, atatukanwa sana na kunyanyapaliwa, huo ndio tunaita uwoga na kushikiliwa akili na wanasiasa, hamna uwezo wa kuhoji.
Juzi aliyekua rais wenu marehemu Mkapa alipoaga dunia ghafla, ikawa hofu kote, familia ikapata tabu sana kueleza kwamba rais kafa kwa malaria....hayo maisha ya hovyoo kabisa, yaani mumefanya nichukie ujamaa, maana nchi yote hadi wataalam wote chali hakuna mwenye jeuri ya kuhoji chochote.
Bora huu uhuru tulio nawo huku.
Screenshot_20200810-081229.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Kenya tungekua na akili finyu kama zile za jiwe tungeban ndege za US kutua Kenya sababu Trump ameban Kenya kwenda US [emoji23][emoji23]
Danganyika ni kituko cha nchi.
Mtaanzaje kuban ndege za waume zenu mabeberu, ubavu huo mnao? sisi tumewaban coz hatuna tabia ya kujipendekeza kwa watumwa wa mabeberu

sisi kama taifa tuna misimamo yetu madhubuti dhidi hata ya mabeberu, marekani ndo alikua mstari wa mbele kuitangazia dunia dhidi ya hali mbaya ya corona tanzania bt WIKI JANA KATAMKA TANZANIA NI SEHEM SALAMA NA ANAWASHAURI RAIA WAKE KUITEMBELEA
 
Hautoi uwoga kwa kukaripia ugonjwa, unatoa uwoga kwa kupima na kutoa takwimu, hamna kitu cha hovyoo kama kuishi mnavyoishi yaani hamjijui japo mumejipa mzuka wa kujiaminisha corona imeikimbia Tanzania kisa rais aliongea, lakini wengi wenu kwenye nyoyo zenu ndani kwa ndani mnaujua ukweli kwamba corona ni tatizo la kisayansi na halimalizwi kwa matamko ya wanasiasa.

Leo hii kwenu mumefanya corona kama gonjwa la aibu, hakuna Mtanzania anayeweza kujitokeza sasa hivi na kukiri anaumwa corona, atatukanwa sana na kunyanyapaliwa, huo ndio tunaita uwoga na kushikiliwa akili na wanasiasa, hamna uwezo wa kuhoji.
Juzi aliyekua rais wenu marehemu Mkapa alipoaga dunia ghafla, ikawa hofu kote, familia ikapata tabu sana kueleza kwamba rais kafa kwa malaria....hayo maisha ya hovyoo kabisa, yaani mumefanya nichukie ujamaa, maana nchi yote hadi wataalam wote chali hakuna mwenye jeuri ya kuhoji chochote.
Bora huu uhuru tulio nawo huku.
Mkuu na Ufisadi katika serikali ya Kenya kupitia Cov19 unasemaje ?
Kenya begins corruption investigation into profiting off Covid-19
 
Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.
kwa kutumia mbinu zetu kama taifa mume wenu beberu amerika amekiri tanzania ni pahala salama na anawataka wananchi wake waje kwa wingi, nyie walamba miguu bado mnapigwa spana tena na hao hao mnaowalamba miguu

kenya mnapaswa mpevuke kiakili kama taifa huru, hivi ninyi mnaweza kuwashauri amerika namna yakuidhibiti corona? kama hapana kwa nini wao waweze kuwaendesha namna watakavyo?

kama hamna uwezo wa kutatua matatizo yenu hiyo elim mnayojivunia inawasaidia nini?
 
Utaficha wagonjwa wa corona ila sio VIFO.
Hoja yako bado ni DHAIFU.
Tanzania hakuna CORONA.wala maambukizi ya corona wala vifo vya corona..
HATA KAMA HATUPIMII WATU ILA KAMA CORONA INGEKUWEPO INGEONEKANA MATOKEO YAKE..
TAYARI MMEZIKA WATU 420View attachment 1532802

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Wagonjwa wanafichika tena virahisi sana, kwanza kwa taifa la kiujamaa kama lenu ni rahisi sana maana wenyewe ndani kwa ndani hakuna mwenye jeuri ya kuhoji, huwa mnaishi kiutumwa.
 
Sawa vipi vifo? Navyo utaficha?..
Alafu mwambieni kenyata awafungie ndani ili mpunguze maambukizi mapya.kwanini mnazurura hovyo?.

Corona haiui sana Afrika, hata huku kwetu miezi yote hii tuna vifo vichache sana ukilinganisha na uzunguni au uarabuni wanakokufa kwa maelfu, hiyo Dar ina watu milioni sita, mkifa watu kumi kwa mwezi kisa corona vinafichika virahisi tu, maana ukizingatia nyote mumeufyata hata ndugu yako akifa kwa corona hauwezi ukaitangaza mnaifanya siri ya ndani la sivyo utatukanwa sana na Watanzania haswa walio mlengo wa serikali.
 
Hautoi uwoga kwa kukaripia ugonjwa, unatoa uwoga kwa kupima na kutoa takwimu, hamna kitu cha hovyoo kama kuishi mnavyoishi yaani hamjijui japo mumejipa mzuka wa kujiaminisha corona imeikimbia Tanzania kisa rais aliongea, lakini wengi wenu kwenye nyoyo zenu ndani kwa ndani mnaujua ukweli kwamba corona ni tatizo la kisayansi na halimalizwi kwa matamko ya wanasiasa.

Leo hii kwenu mumefanya corona kama gonjwa la aibu, hakuna Mtanzania anayeweza kujitokeza sasa hivi na kukiri anaumwa corona, atatukanwa sana na kunyanyapaliwa, huo ndio tunaita uwoga na kushikiliwa akili na wanasiasa, hamna uwezo wa kuhoji.
Juzi aliyekua rais wenu marehemu Mkapa alipoaga dunia ghafla, ikawa hofu kote, familia ikapata tabu sana kueleza kwamba rais kafa kwa malaria....hayo maisha ya hovyoo kabisa, yaani mumefanya nichukie ujamaa, maana nchi yote hadi wataalam wote chali hakuna mwenye jeuri ya kuhoji chochote.
Bora huu uhuru tulio nawo huku.
Kama ni hivyo mbona hatufi mkuu tunapeta tuu
 
420 wachache?
Corona haiui sana Afrika, hata huku kwetu miezi yote hii tuna vifo vichache sana ukilinganisha na uzunguni au uarabuni wanakokufa kwa maelfu, hiyo Dar ina watu milioni sita, mkifa watu kumi kwa mwezi kisa corona vinafichika virahisi tu, maana ukizingatia nyote mumeufyata hata ndugu yako akifa kwa corona hauwezi ukaitangaza mnaifanya siri ya ndani la sivyo utatukanwa sana na Watanzania haswa walio mlengo wa serikali.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Si ndo nyie mlikuwa mnasema Tanzania tunakufa kama kuku leo umesahau?.

Back
Top Bottom