Marekani yawaonya Raia kwenda Kenya sababu ya COVD19

Marekani yawaonya Raia kwenda Kenya sababu ya COVD19

Mk254 yuko wapi aje kusema Ile SAFIII PIMA PIMA PIMA PIMA SASA NYUMBA KWA NYUMA MWENDO WA KUPIMA TU. uwez ukaona mtu yeyote mwenye akili timamu anatamka maneno haya
IMG_20200805_162623.jpg
 
Serikali ya Marekani imewaonya raia wake kutotembelea Kenya Sababu ya ongezeko la wagonjwa wa Covd19 na hatari ya ugaidi kutokea.
Hii itakuwa pigo kubwa sana kwa sekta ya utalii ambapo Jana Waziri Balala na Rais Uhuru Kenyatta walizindua kampeni kababe ya kuvutia watalii kutembelea nchi hiyo.

Reconsider Travel to Kenya - US Embassy Advises

Mchimba shimo huingia mwenyewe. Waliweka mikakati fitinishi wakituchagua kimataifa eti tusiende kwao tutawaambukiza coronoa huku wakijifanya kwamba wao kama si sisi hawana tatizo la COVID!.

Mficha maradhi, kilio huumbua.

Yako wapi sasa?
 
Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.

Hahahaha!! Uoga unauondoa vip wakati mnatisha watu kwa kuonda mvnt Na lockdown?
 
Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.
Nyie ma bwege kweli mtabaki hivyo hivyo hao wazungu wa KLM kama wasinge jiridhisha wasinge leta RAIA wao sehem ambayo ni hatarishi
 
Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.
Hahahahaha naona corona inawanyoosha pamoja na kutangaza kwenu wakati sisi tunapeta tu. Haya marafiki zetu USA wamewakataa hawataki kuja kwenu mna corona ila sisi tusiopima wameruhusiwa kuja!! Mmezidi kujipendekeza kwa mabeberu ona sasa yanawanyoosha!!
 
Hamna si unaona mwenyewe.
Watu 420 wamekufa kwa corona.

Ebu Anza kuhesabu kuanzia 1 mpaka 420.
Ni watu wengi sanaaa tenaa sanaa.sasa hao ni wale ambao serikali ya Kenya imerekodi visa vyao.acha wale wanaokufa majumbani na wale wa vijijini ambao hawawezi kufika hospitalini
Duh chief upo kenya au unawashakizia tu
Screenshot_20200810-081229.jpg

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
wakenya wanapenda kusikia hivyo ili waongezewe mkopo na IMF toka ile usd 1 billion waliopewa.,..mbaya zaidi ela yote inaishia kwa kenyata na ukoo wake ...shame
Duh kama hali ipo ivyo kweli wanahitaji maombi ..nq pale Nairobi si pana ofisi ndogo ya WB ya kanda bila shaka
 
Kenya tungekua na akili finyu kama zile za jiwe tungeban ndege za US kutua Kenya sababu Trump ameban Kenya kwenda US [emoji23][emoji23]
Danganyika ni kituko cha nchi.
Akili mbovu za kikenya mzungu akiingia kenya akai karantini ila mwafrika mnampeleka karantini,mmefunga shule na vyuo hadi mwakani lkn mkafungulia utalii sasa hiyo akili au matope!
 
Wako sahihi, maana sisi hatufichi hali ya corona kwetu na hautasikia tukilialia na kujichokea kama Watanzania kila tukitajwa, yeyote anayekuja kwetu afahamu namba zetu za waathirika zimepandisha na huwa tunazitaja bila uwoga. Hatua za kwanza na muhimu kwenye kupambana na huu ugonjwa ni kuondoa uwoga na kukumbana nawo, kupima na kujua hali yako na kuitolea taarifa pia.
Wakenya kuongea kizungu wanajionaga kama wao ni wazungu watu wa west..kumbe ni ka nchi kamoja maskin sana dunian..wakenya wanaringia kuongea kizungu.hahahahah...mkikaribia vifo 500 utupe mrejesho...mbona takwimu za ukimwi.malaria.kipindupindu kifua kikuu hamwek hadharan...pum.bafu kwel
 
Back
Top Bottom