Marekani yawaonya raia wake kutembelea Tanzania kuepuka kuambukizwa COVID-19

Aaaah....
Mabeberu wanatupa kila sifa mbaya.
Kwa nini lakini?
Kwa kuwa unapingana na misimamo ya mabeberu...kwa kuwa unakataa unyonyaji wa mabeberu....
 
Juzi hapa nilimuona Balozi wa Merikani chini Tanzania alikuwa anazungumza kwenye sherehe bila ya kuvaa face mask - what does that tell you?

Hivi inaingia akilini kwamba Serikali ya USA inajuwa vizuri kinachojiri nchini Tanzania kuliko Balozi wao!!
Mtu mmoja kujiamulia kutokuvaa barakoa inathibitisha kuwa Tanzania haina Corona?Mbona Trump alikuwa havai barakoa,hii ilithibitisha kuwa Marekani hakuna corona?
 
Sisi tunadunda tu mtaani kama kawa immunity yetu inaimarika. Jamani ni msimu wa mananasi kuleni manansi ya kutosha.

Eti ninasema uongo ndugu zangu?
 
Maendeleo huja na Changamoto
#Tupgekz wa tz
 
Wasije Kabisaaaa wabakie na Mikorona yao ya kutengenezwa
 
Kama wanapima ulitaka nikujibu nini?!
 
Mtu mmoja kujiamulia kutokuvaa barakoa inathibitisha kuwa Tanzania haina Corona?Mbona Trump alikuwa havai barakoa,hii ilithibitisha kuwa Marekani hakuna corona?

Ugonjwa huu haujaisha by 100%, cha muhimu nikuchukue tahadhari pale inapobidi - lakini Balozi kutovaa face mask kwenye gathering kunaonyesha kwamba anaamini kwamba maambukizi ya corona nchini in almost negligible - my opinion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…