Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mshkaj inaonyesha ndio chawa wa wamagharib kwa eneo hili na ndio maana haijulish anafanya nin lkn hawamuwekei vikwazo wala kumsema kinomanomaKuna mkono wa Kagame nadhani kkk
😂😂full kupigwa yaniWaafghanistani wenyewe hawaamini walichofanyiwa. Wao walikua wanategemea watakua New York ama Chicago ghafla wanaambiwa wanaletwa Jinja ama Kampala wale wanakuja Kagera kununua mahitaji yao, hawaamini macho yao.
Waende nchi gani? Wenyewe wametofautiana kimadhehebu ama misimamo. Kwa mfano, Osama alikuwa mwiba mchungu kwa nchi yake, Saudia kutokana na misimamo yake. Osama ndiye aliyekuwa na Wateleban kule Kabul. Leo utawaambia Wateleban waende Saudia? Kwanza kwa misimamo yao hawaendani na uislam wa nchi za Ghuba. Waarabu washachakachuliwa na USA. Sasa hivi wapo kidunia zaidi kuliko uislamu.Zile zinazoitwa nchi za kiislamu haziwataki kama kawaida yao huku wakidai eti waislamu wote ni ndugu.. 😛
Sasa sijui ndege imetua wapi. Tangu jumapili waganda wanasubiri.
Bora hayo magaidi hayajaelekezwa africa mashariki
WaPo qatar kwa muda kwanzaSasa sijui ndege imetua wapi. Tangu jumapili waganda wanasubiri.
Waende nchi gani? Wenyewe wametofautiana kimadhehebu ama misimamo. Kwa mfano, Osama alikuwa mwiba mchungu kwa nchi yake, Saudia kutokana na misimamo yake. Osama ndiye aliyekuwa na Wateleban kule Kabul. Leo utawaambia Wateleban waende Saudia? Kwanza kwa misimamo yao hawaendani na uislam wa nchi za Ghuba. Waarabu washachakachuliwa na USA. Sasa hivi wapo kidunia zaidi kuliko uislamu.
Halafu, hii move si bahati mbaya kama USA anavyotaka watu tuamini. Hapo tunaweza tusiwe na majibu leo, lakini, baada ya muda tutajua tu USA anakusudia nini. Baadhi yetu kwa kutofahamu tunadhani eti kachemka kwa Wateleban--Ni makosa sana kufikiri hivi . USA ni nyoka!