Marekani yawapiga changa la macho Uganda kuhusu wakimbizi wa Afghanistan

Waafghanistani wenyewe hawaamini walichofanyiwa. Wao walikua wanategemea watakua New York ama Chicago ghafla wanaambiwa wanaletwa Jinja ama Kampala wale wanakuja Kagera kununua mahitaji yao, hawaamini macho yao.
😂😂full kupigwa yani
 
Zile zinazoitwa nchi za kiislamu haziwataki kama kawaida yao huku wakidai eti waislamu wote ni ndugu.. 😛
Waende nchi gani? Wenyewe wametofautiana kimadhehebu ama misimamo. Kwa mfano, Osama alikuwa mwiba mchungu kwa nchi yake, Saudia kutokana na misimamo yake. Osama ndiye aliyekuwa na Wateleban kule Kabul. Leo utawaambia Wateleban waende Saudia? Kwanza kwa misimamo yao hawaendani na uislam wa nchi za Ghuba. Waarabu washachakachuliwa na USA. Sasa hivi wapo kidunia zaidi kuliko uislamu.

Halafu, hii move si bahati mbaya kama USA anavyotaka watu tuamini. Hapo tunaweza tusiwe na majibu leo, lakini, baada ya muda tutajua tu USA anakusudia nini. Baadhi yetu kwa kutofahamu tunadhani eti kachemka kwa Wateleban--Ni makosa sana kufikiri hivi . USA ni nyoka!
 
Kachemka ndugu yako
 
Kuna warembo wa kiarabu jamaa walikuwa wanajipanga ,wakishuka tu ni mwendo wa luwazalisha na vile waisilanu hawaamini katika uzazi wa mpango ,hilu lilikuwa bonge la dili ,lazima waulizie wageni wao
 
Back
Top Bottom