Uchaguzi 2020 Marekani yawasihi NEC na Magufuli kujali misingi ya demokrasia kwenye Uchaguzi Mkuu 2020


je ,wao hayo wanayo yasema kwao wanayafuata au tunashabikia tu?
 

Hiki kitu nilikuwa nakisema miaka yote, ili kuilazamisha serikali kufuata misingi ya demokrasia tulikuwa tunahitaji sana nguvu ya mataifa ya nje na sisi jumuiya ya diaspora kufanya lobbying. Tundu Lissu amefanya kama nilivyokuwa nafikiria!
 
Hata Familia uchumi ukiyumba nyumba inakosa amani sasa fikiria hao niwatu kama 5 au sita je ukiyumbisha uchumi kwa watu milioni 60 hiyo vurugu ya njaa patatosha kweli?
 
Ananyosha kidole kimoja kwa Nchi yetu amesahau kuwa vidole vinne vinamwelekea mwenyewe marekan. Kweli maandiko hayakukosea kuwa 'unatoa kibanzi kwenye hicho la mwingine wakati kwako kuna Boriti kubwa unalofanya huliooni?????? Kweli akili za kuambiwa changanya na zako by JK ! Hii ndio marikani kiranja mkuu ! Upuuzi mtupu. Malizeni yenu kwanza ndipo muone ya wengine
 
Namuona Mwalimu akiwa na mabeberu.
 
Ukitaka watu waandamane na kutokee machafuko usiwaletee mchele!! [emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Kukosa TAKUKURU Mzee wa Ubwabwa alikua anachukua Nchi Mapema kwa Sera ya Ubwabwa!![emoji3][emoji2]
 
Tayari hakuna dollar kwenye mabenki
 
Uhalifu upo kila kona ya dunia lakini cha msingi ni kuwa na vyombo vya kuwashughulikia wahalifu, uhuru wa watu kuelezea hisia zao n.k. na vitu hivyo wao wanavyo. Hivi uchunguzi wa yule mwanasiasa aliyepigwa risasi 16 umeishia wapi?
Mada inahusu tamko la maseneta marekani kuhusu hilo jingine ulilouliza kuna nyuzi zake nyingi unaweza kuingia humo
 
Lisu kasimamishwa na Kamati ya Maadili ya vyama vya siasa kwa matamshi yake mabaya sasa iweje ilaumiwe serikali wakati ndani ya Kamati ile ina wawakilishi wa kila chama i wawili na hivyo wakati wa kutoa maamuzi Chama cha Lisu kiliridhia na kikaomba ipunguzwe adhabu . Hivi wanadhani wazungu watakuja kumpigia kura hapa , watuache na nchi yetu.
 
Haaaa haaaa haaaa nafuu inyooshe kidole nchi nyingine na si Marekani. Sijui nani aliipa hii nchi uenyekiti wa vijiji. Hivi hatuwezi kutoa tamko kuwahusu juu ya Trump kugoma kukabidhi uongozi na pia mauaji ya ndugu zetu tunawaachia wenyewe kutusemea tu.
 
Wanamuomba JPM atakaporudi tena madarakani arekebishe.
Wanatakiwa wajue ya kwamba baada ya uchaguzi ni marufuku siasa mpaka uchaguzi ujao.
Spana,, spana tu mpaka mwisho.
Jidanganye tu!!! Hamjui linalowajia kwa sababu mmenyimwa akili vilaza nyie
 
Mada inahusu tamko la maseneta marekani kuhusu hilo jingine ulilouliza kuna nyuzi zake nyingi unaweza kuingia humo

Wewe ndiye ulieleta mada nyingine. Tulikuwa tunaongelea kuhusu uchaguzi ukaja na mada ya Wamarekani weusi wanavyouliwa, sasa kuna kosa gani na mimi nikimtaja Lissu.

"Kuna nyuzi zake nyingi unaweza kuingia humo", mimi nataka jibu kutoka kwako.
 
Ndungai alisema CCM inachohitaji ni 3/4 ya wabunge wote ili iwe na maamuzi ya kupitisha sheria bungeni. Kilichofuatia ni wabunge wa Chadema kuenguliwa na mawaziri na makada waandamizi wa CCM kupita bila kupingwa.

Nimeona kama NEC imekwisha rekebisha kasoro hizo zikizo kuwa zinalitia DOA kubwa Taifa letu kimataifa - NEC imekubali kurudisha majina ya wagombea walio kuwa wame enguliwa kimizengwe kweli kweli karibu wote walikuwa wanatoka kwenye vyama vya upinzani, hata wale waliokuwa wanadaiwa walipita bila kupingwa imekuwa reversed vile vile - sina shaka kadri siku zinavyo kwenda NEC itajirudi - my opinion.
 
Jidanganye tu!!! Hamjui linalowajia kwa sababu mmenyimwa akili vilaza nyie
Nyinyi ndo mnajidanganya.
utashangaa uatakapoona atakapoapishwa Rais mabalozi wa hizo nchi wanazowazuga wanaudhuria na wanampa mkono wa baraka Rais JPM na wanampa mikataba minono.
 
Please go and tell Chairman Risch of the US Senate Committee on Foreign Relations to correct first the past and present errors pertaining to the ongoing campaigns in their 3rd November 2020 Presidential elections in US. That will help him and his fellow Americans to first put their house in order instead of nosing in other people's houses while your house is in very bad conditions!
 
Dictators never heed to words, the only language they understand is Bombs!
 
Dar es Salaam, Tanzania

Happy Democracy day- Greetings from Ambassador Dr. Donald Wright

source : USEmbassyTZ
Dr. Donald Wright balozi wa Marekani nchini Tanzania, anatoa pongezi kwa wote kueneza ufahamu wa demokrasia na hasahasa kwa vile mwaka huu 2020 ni muhimu kwa waTanzania kujua masuala haya hivyo usisite kutembelea mtandao wa Tume Ya Taifa ya Uchaguzi - NEC kuhakikisha taarifa zako kama mpiga kura zipo, maana kupiga kura 28 Oktoba 2020 ni zoezi muhimu kwako mpiga kura kuhakikisha sauti yako inasikika.

Historia hutoa somo zuri ,Kunapokuwa na mazingira ya kubinya demokrasia basi wapiga kura wachache hujitokeza. Lakini kukiwepo mazingira ya uhuru na haki wengi hujitokeza kupiga kura.

Hivyo shimeshime vijana mjitokeze kwa wingi maana ninyi ndiyo sehemu kubwa kwa idadi ya watu wa Tanzania, kupiga kura ili muwe sehemu ya kushiriki kupanga mipango ijayo ya nchi yenu kwa kupitia kura zenu.

Hivyo mwambie mwenzako, asikose haki hii adhimu ya mpiga kura na umuhimu wa kushiriki kupiga kura.

TWENDE PAMOJA
Dr. Donald Wright balozi wa Marekani nchini Tanzania.
tz.usembassy.gov
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…