Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ivi tukio Kama lakutekwa MO lile sio ugaid,, AU matukio ya watu kutekwa ovyo,, Kuna mambo mengine tunayachukulia easy ila yanaharibu image ya taifa letu lenye sifa nzuri tangu zamani,,America watu wanauwawa kuliko nchi yoyote east Africa halafu leo wanaleta kidomodomo.
Naona Tanzania,Kenya na Uganda zimewekwa level moja,halafu eti Rwanda hakuna hatari yoyote.
Mwenye akili ataona shida ilipo.
Tutawatuma wanajeshi wetu wakawalete hao watalii kwa nguvu
Mkuu hawa waseng.... kwa kuwatumia wake zao wanaweza kuwaleta wale wakujitoa muhanga wakasababisha machafuko. Muhimu ni kuwaondoa kabisa nchini.Wanajidanganya wenyewe uzuri wa Tanzania tunaongea tu sana lakini mambo ya kushika mitutu na mabomu hayo tunawachia Congo na Burundi
The warning statement says US citizens should be cautious against violent crime, such as assault, sexual assault, express kidnapping, mugging, and carjacking, is common.
Hivi kuna ugaidi gani hapa Tz? Na raia wapi wa nje wamekuwa wakifanyiwa vitendo kinyume na inavyotakiwa? Us bhana. Ukute jata Ttump hafajamu kama state department wanaongea upuuzi.Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.
Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya nchi.
Pia taarifa hio inadai kuwa ndai ya nchi wanaohisiwa kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hukamatwa na huenda wakalazimishwa kupimwa njia ya haja kubwa kwa nguvu na mamlaka husika.
Pia wamedai kuwa polisi ndani ya nchi hawana uwezo na miundombinu ya kupambana na uhalifu kwa hiyo wananchi wao wawe makini.
Katika suala la ugaidi wamedai kuwa mashambulizi huenda yakalenga vituo vya polisi, balozi za nchi mbali mbali, misikiti na maeneo mengine ambayo watu wa Magharibi(wazungu) wanakuwepo.
=========
Exercise increased caution in Tanzania due to crime, terrorism, and targeting of LGBTI persons.
Violent crime, such as assault, sexual assault, express kidnapping, mugging, and carjacking, is common. Local police may lack the resources to respond effectively to serious crime.
Terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania. Terrorists may attack with little or no warning, targeting embassies, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners.
Members of the LGBTI community have been arrested, targeted, harassed, and/or charged with unrelated offenses. Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations.
Read the Safety and Security section on the country information page.
If you decide to travel to Tanzania:
Follow the Department of State and the US Embassy in Tanzania on Facebook and Twitter Review the Crime and Safety Report for Tanzania.
- Always carry a copy of your U.S. passport and visa and keep original documents in a secure location.
- Be aware of your surroundings.
- Do not leave your food or drink unattended.
- Stay alert in all locations, especially those frequented by Westerners.
- Avoid public displays of affection particularly between same-sex couples.
- Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
U.S. citizens who travel abroad should always have a contingency plan for emergency situations. Review the Traveler’s Checklist.
Souce: Tanzania Travel Advisory
Kikubwa ni kuufunga ubalozi wa marekani tanzania. Hakuna njia nyingine.nimeona hata watu wakijinasibu kuwa 2019 hawatajali police 🚔 wala mtu awae yote. Sasa tuwe makini na marekani. Inawezekana ime imesha watuma hao wanaotaka kutumia ubabe bila kuogopa police. Tanzania 🇹🇿 niyetu. Wapo watu wanajinasibu kuwa hawaogopi kupigwa risasi. Tuanze kuwakamata hao na kuwahoji na kuwazibitiSerikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.
Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya nchi.
Pia taarifa hio inadai kuwa ndai ya nchi wanaohisiwa kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hukamatwa na huenda wakalazimishwa kupimwa njia ya haja kubwa kwa nguvu na mamlaka husika.
Pia wamedai kuwa polisi ndani ya nchi hawana uwezo na miundombinu ya kupambana na uhalifu kwa hiyo wananchi wao wawe makini.
Katika suala la ugaidi wamedai kuwa mashambulizi huenda yakalenga vituo vya polisi, balozi za nchi mbali mbali, misikiti na maeneo mengine ambayo watu wa Magharibi(wazungu) wanakuwepo.
=========
Exercise increased caution in Tanzania due to crime, terrorism, and targeting of LGBTI persons.
Violent crime, such as assault, sexual assault, express kidnapping, mugging, and carjacking, is common. Local police may lack the resources to respond effectively to serious crime.
Terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania. Terrorists may attack with little or no warning, targeting embassies, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners.
Members of the LGBTI community have been arrested, targeted, harassed, and/or charged with unrelated offenses. Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations.
Read the Safety and Security section on the country information page.
If you decide to travel to Tanzania:
Follow the Department of State and the US Embassy in Tanzania on Facebook and Twitter Review the Crime and Safety Report for Tanzania.
- Always carry a copy of your U.S. passport and visa and keep original documents in a secure location.
- Be aware of your surroundings.
- Do not leave your food or drink unattended.
- Stay alert in all locations, especially those frequented by Westerners.
- Avoid public displays of affection particularly between same-sex couples.
- Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
U.S. citizens who travel abroad should always have a contingency plan for emergency situations. Review the Traveler’s Checklist.
Souce: Tanzania Travel Advisory
USA mitandao ya magaidi mingi wanaifahamu, magaidi wengi wanawafahamu, na mawasiliano yao mengi wanayanasa.
Na hata ndani ya magaidi mara nyingi huwa kunakuwa na CIA.
Vibovu?Tahadhari tayari imeshatolewa, ni jukumu la vyombo vyetu vibovu vya usalama navyo kuchukua hatua mahususi kujipanga, maana huwa vinajifanyaga viko usingizini tena fofofo wakati magaidi wako busy kutushambulia.