Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Basi wao ndio wapangaji wa matukio. Tumeshaumia.
 
Jana wakati IGP Simon Sirro akiongea na vyombo vya habari, kabla ya kuzungumzia suala la utekaji wa MO, alisema jeshi la polisi linazo taarifa kuwa kuna kikundi cha Watanzania wako Msumbiji msituni wakijifunza matumizi ya silaha, na hivi karibuni jeshi la polisi limewakamata zaidi ya watanzania 104 mpakani wakielekea huko.

Kama aliyosema Kamanda Sirro ni kweli basi kuna hatari inatunyemelea tuwe makini, leo tunaweza kudharau lkn kesho wanaweza kutumiwa na maadui zetu wakaja kuvuruga amani ya nchi yetu.

Kwa kulisaidia jeshi letu tujadili na tujiulize yafuatayo,

1. Ni akina nani hao,
2. Nani yuko nyuma yao,
3. Nini kimesababisha waende msituni,
4. Lengo lao hasa ni nini.
5. Serikali ya Msumbiji inatambua uwepo wao?
6. Na mwisho je serikali yetu imeshawasiliana na serikali ya Msumbiji kuhusu jambo hili.
Wengine tulihoji haya muda mrefu, someni hii thread....

Watanzania aliosema Sirro kuwa wako msituni huko Msumbiji ni kina nani na wana lengo gani? - JamiiForums
 
Ha ha ha haaaa... Unajua kabisa Marekani siyo sawa na sisi, kwa msingi huo kwakua marekani ni mjumuisho wa majimbo kadhaa, basi na sisi tuunganishe Africa nzima halafu tuangalia matukio ya kiuhalifu yanayotokea kila siku ndo tuweke, ila kuweka matukio ya majimbo mbalimbali kwamba Marekani ni hatari ukilinganisha na Tanzania ni kujitoa ufahamu tu, Tanzania kwa marekani ni kajimbo kamoja tu.
unatafuta pa kutokea. Unajua matukio ya south Africa mkuu juu ya mauaji ya kijingajinga?
 
Tushapata kiki... Tufurahie na tusheherekee
 
9. South Africa
South-Africa.jpg

After the South American country, the other country with one of the highest murder crimes is the South African country; South Africa. It is a multi ethnic country and has the 7th highest per capita income across Africa. However, it still continues to suffer from problems like poverty, and high crime rates. One of the most commonly committed crimes over here includes murders and rapes. According to statistics, it is considered that 31 people out of a population of 100,000 die by being murdered due to some reason. It is said that murder rate in the country has come down a great deal it however continues to be one of the countries with highest murder rates.
 
Sijui chanzo cha hii taarifa(validity yake) though jambo hili linaleta ukakasi kwenye intelligence yetu. Kama jambo hili ni kweli basi kuna haja ya kuhoji efficiency ya idara yetu ya usalama wa Taifa kama organ iliyopewa jukumu la kutulinda kwa kubaini viashiria vyote vya uvunjifu wa amani.
Mungu atuepushe kama hii taarifa ni ya kweli
ya usalama WA taifa!???hahahaaa it is there to fight opposition ,mark my words
 
Serikali ya Marekani imewaonya raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania kuwa makini na matukio ya Ugaidi , uvunjifu wa haki za binadamu na uhalifu ndani ya Tanzania.

Katika taarifa yao wamedai kuwa kuna makundi ya kigaidi ndani ya nchi ambayo huenda yanajipanga kufanya mashambulizi ndani ya nchi.

Pia taarifa hio inadai kuwa ndai ya nchi wanaohisiwa kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja hukamatwa na huenda wakalazimishwa kupimwa njia ya haja kubwa kwa nguvu na mamlaka husika.

Pia wamedai kuwa polisi ndani ya nchi hawana uwezo na miundombinu ya kupambana na uhalifu kwa hiyo wananchi wao wawe makini.

Katika suala la ugaidi wamedai kuwa mashambulizi huenda yakalenga vituo vya polisi, balozi za nchi mbali mbali, misikiti na maeneo mengine ambayo watu wa Magharibi(wazungu) wanakuwepo.
=========


Exercise increased caution in Tanzania due to crime, terrorism, and targeting of LGBTI persons.

Violent crime, such as assault, sexual assault, express kidnapping, mugging, and carjacking, is common. Local police may lack the resources to respond effectively to serious crime.

Terrorist groups continue plotting possible attacks in Tanzania. Terrorists may attack with little or no warning, targeting embassies, police stations, mosques, and other places frequented by Westerners.

Members of the LGBTI community have been arrested, targeted, harassed, and/or charged with unrelated offenses. Individuals detained under suspicion of same-sex sexual conduct could be subject to forced anal examinations.

Read the Safety and Security section on the country information page.

If you decide to travel to Tanzania:
  • Always carry a copy of your U.S. passport and visa and keep original documents in a secure location.
  • Be aware of your surroundings.
  • Do not leave your food or drink unattended.
  • Stay alert in all locations, especially those frequented by Westerners.
  • Avoid public displays of affection particularly between same-sex couples.
  • Enroll in the Smart Traveler Enrollment Program (STEP) to receive Alerts and make it easier to locate you in an emergency.
Follow the Department of State and the US Embassy in Tanzania on Facebook and Twitter Review the Crime and Safety Report for Tanzania.

U.S. citizens who travel abroad should always have a contingency plan for emergency situations. Review the Traveler’s Checklist.

Souce: Tanzania Travel Advisory
 
Hii tarifa kama ni ya kweli, serikali ilifanyie kazi suala hili

Americans hua wanafanya hivi ili kuleta panic katika nchi, wananchi wasiviamini vyombo vyao vya ulinzi

Cha kufanya serikali iwaite watu wa ubalozi wa marekani na wahojiwe effectively ili waseme hizi tarifa wametoa wapi?

Na ikibainika kwamba ni uongo, serikali iufunge ubalozi wa marekani

Hawa jamaa wameharibu nchi nyingi sana kwa ujinga wao huu, wa kupandikiza magaidi na kujifanya wana tarifa za kiintelijensia

Kama wao ni smart sana walishindwaje kuzuia ubalozi wao usilipuliwe mwaka 98, maana hata hints hawakua nazo.
Huwezi kuhoji balozi wa Burundi utaweza wa beberu
 
These are very serous allegations!!?? But the way people give their comment s !!!!shows we have a long way to go!!!nafikir sekta kaa za utalii zitaadhirika sana !!
 
Back
Top Bottom