Gullam
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 5,239
- 3,933
Wakati mnateka Mo mlijua ishu ndogo, sasa itawatokea puani. Bashite anaendesha operation za kijinga, kumpiga risasi Lisu, kumteka Ben, kumuua Mawazo hata hawahesabiki. Mnaona sawa tu, Mungu haziakiwi nawaambia.Wazee wafitina wameanza, hawana aibu hata sababu za kuokota okota watazileta tu