Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Marekani yawatahadharisha raia wake wanaotaka kuitembelea Tanzania dhidi ya Ugaidi na uhalifu

Wazee wafitina wameanza, hawana aibu hata sababu za kuokota okota watazileta tu
Wakati mnateka Mo mlijua ishu ndogo, sasa itawatokea puani. Bashite anaendesha operation za kijinga, kumpiga risasi Lisu, kumteka Ben, kumuua Mawazo hata hawahesabiki. Mnaona sawa tu, Mungu haziakiwi nawaambia.
 
Wafanye huo utalii kwingine mtu halazimishwi kwenda asipotaka pia wana uwezo wa kuja kama kapanga kuja huku Tanzania
 
Chama cha Maaskofu kisaidie kuomba radhi na iwahakikishie mashoga usalama wao. Kanisa liaunga mkono kwa maslahi yetu.
Mbona Nchi za kiarabu zunaruhusu ushoga ila hairuhusiwi kufanywa hadhararani Lebanon juzijuzi tu kulikuwa na Gay pride.
 
Kwa wale wanaokumbuka kipindi cha kutuma salamu Radio Tanzania ndio hii sasa.

Kwa jina naitwa serikari ya marekani napenda kutuma salamu zangu kwa serikari ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania je kweli utatuweza tukija na full sanctions wakati kukuumiza wewe wala aihitaji jitihada kubwa.
..........................................................................................................................................................................................................
Pamoja na mapungufu machache na kelele nyingi za lawama zisizo na uhalisia; serikari inafanya mambo mengi mazuri kushinda mapungufu.

Ni vema kujikita kwenye yale mazuri na kuboresha kwenye mapungufu kuliko kutafuta ugomvi usio wa lazima na wazungu atuwezi shinda huko sana sana serikari itaenda umiza watu wengi mno kwa sababu za emotional na moral view za viongozi ambazo hazina maslahi yoyote kwa watanzania walio wengi.
 
Wakati mnateka Mo mlijua ishu ndogo, sasa itawatokea puani. Bashite anaendesha operation za kijinga, kumpiga risasi Lisu, kumteka Ben, kumuua Mawazo hata hawahesabiki. Mnaona sawa tu, Mungu haziakiwi nawaambia.
Wazee wa 'fitna' wanaweza kupiga bomu la sumu wao, wanaweza kukodisha mercenaries wakawaita ISIS wakakupiga, hata kukuchomekea kuwa una silaha za maangamizi.
Hizo 'show' wanadhamini wao ila malofa ndo wamepata pakutokea
 
Mbona Nchi za kiarabu zunaruhusu ushoga ila hairuhusiwi kufanywa hadhararani Lebanon juzijuzi tu kulikuwa na Gay pride.
Hiyo ni Lebanon, kule kuna upande wa wakiristu na upande wa Waislaam.
Miaka ya 80's kulikuwa na vita ya 'wanamgambo wa kikiristo na Wakiislaam'
Huo ujinga upo upande wa wakiristo.
 
Ccm na wapinzani ni watoto wa mama mmoja au nimesoma vibaya ulichoandika? Watoto wa mama mmoja kisha wapinzani wanafanyiwa ukatili wa wazi tena kwa uratibu wa vyombo vya dola? Acha Marekani aje atukumbushe kwamba sisi ni watoto wa mama mmoja maana tumesahau.
Hahaha kama alivyofanya libya mkuu?
 
ningekuwa bashite now ningesha achia cheo

ushoga hatuutaki kweli lkn kwann bashite alopoke vile?

nimeamini jamaa anaupeo finyu wa kufikilia yaani alishindwa ata na watoto wa form four wanajua kabisa wazungu wanamuwinda jiwe

muheshimiwa raisi nitadili na hao wanaopinga kwenye mitandao

haya maendeleo ni miaka mitatu tu je akiongoza miaka 30

kama mtu ni mfupi tusiseme

all in all bashite cheo kimekushinda UWEZO
"Ninakuahidi muheshimiwa Rais baada ya uchaguzi mkuu 2020 nitakukabidhi Dar es salaam ikiwa na wabunge na madiwani wote wa CCM" - Paul Makonda, 2018.
 
Hiyo ni Lebanon, kule kuna upande wa wakiristu na upande wa Waislaam.
Miaka ya 80's kulikuwa na vita ya 'wanamgambo wa kikiristo na Wakiislaam'
Huo ujinga upo upande wa wakiristo.
Mbona viumbe wengine ambao sio binadamu wanafanya?!
 
kama ni kukumbatia ushoga na wasije
watalii sio lazima watoke marekani
Kwa sasa tunapata watalii wengi toka spain,italia na france
China kuna soko kubwa sana la watalii tulikosa tu ndege ya moja kwa moja
 
Unasema kweli kabisa. Hawa jamaa ndio waliomtengeneza Osama, ndio walioanzisha kundi la ISLAMIC STATES. Inabidi kila mwananchi awe mlinzi wa nchi hii kwani vita vya kiuchumi vina namna yake ya kupigana. Na hii ni vita rahisi kama tutashikamana kama taifa. Wanaotumiwa tutawasubiria 2020.
Upupu wa kinye.Siii
 
Back
Top Bottom