Marekani yaweka wazi, iko tayari kutumia mbinu za kijeshi kuzuia Iran kumiliki nyuklia

Nchi zinazofungamana na vikundi vya kigaidi sidhani kama ni sahihi kumiliki silaha za maangamizi za nuclear.
Tutajie nchi au vikundi ambavyo Umoja wa Mataifa uliwahi kusema kwamba wana uhakika zipo/vipo kwenye orodha za magaidi - wakati fulani mataifa ya magharibi yaliwahi kusema Mandela ni gaidi, Castro ni gaidi, Wapalestina ni magaidi - mataifa yote ya kiarabu yanayo pinga ukoloni mambo leo wa Israel dhidi ya ukoloni mambo leo wa Israel wa kupora aridhi ya Wapalestina na kuikalia kwa mabavu wanaitwa eti ni magaidi.
 
Aliyedondosha silaha za maangamizi Hiroshima na Nagasaki ndiye anayetakiwa kupokinywa silaha za maangamizi
Na ukiwekea maanani kwamba alidonfosha mabom hayo Hiroshima na Nagasaki kiwatisha Warusi na wala sio kuwashinda Wajapan ambao kwa wakati huo walikuwa mbioni ku-surrender kwa kupitia ubalozi wa Sweden, USA ilikuwa na habari kuhusu hilo lakini ikaipiga Japan na mabomu ya maangamizi kwa lengo kutishia jeshi la Stalin ambalo lilikuwa Manchuria ready to invade Japan - Amerika ikawawahi Warusi - ndio mchezo ulio fanyika pale ulikuwa ni Political rivaly basi - lakini Wamerika uzuga Dunia eti waliipiga Japan ili kunusuru wanajeshi wake wengi wasife katika uvamizi wa Japan - uongo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…