Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Tutajie nchi au vikundi ambavyo Umoja wa Mataifa uliwahi kusema kwamba wana uhakika zipo/vipo kwenye orodha za magaidi - wakati fulani mataifa ya magharibi yaliwahi kusema Mandela ni gaidi, Castro ni gaidi, Wapalestina ni magaidi - mataifa yote ya kiarabu yanayo pinga ukoloni mambo leo wa Israel dhidi ya ukoloni mambo leo wa Israel wa kupora aridhi ya Wapalestina na kuikalia kwa mabavu wanaitwa eti ni magaidi.Nchi zinazofungamana na vikundi vya kigaidi sidhani kama ni sahihi kumiliki silaha za maangamizi za nuclear.