Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi, nchi inayokaidi itashughulikiwa

Kwani tukinunua mafuta watatufanya nini ? kwani kununua mafuta ni dhambi ....dawa ni bara zima ra afrika kufunga barozi za USA, UK,FRANCE hizo nchi ni hasara kuwa na urafiki nazo
Wakikufungia SWIFT ( uwezo wa kutumia dollar) mtaomba poo tuu, na hata huyo mchina na mrusi hawatafanya biashara na wewe tena, labda kama watachukua malipo kwa shilingi 🤣 lakini itakuwa death sentence
 
Kwani nchi zote za Africa zikiamua kununua ya urusi,marekani ataweza kuziwekea vikwazo bara lote la Africa?
Mbona kishindwa kumuwekea vikwazo India na China?hapo utaona umoja wa Africa hauna maana yoyote
 
Kwani nchi zote za Africa zikiamua kununua ya urusi,marekani ataweza kuziwekea vikwazo bara lote la Africa?
Mbona kishindwa kumuwekea vikwazo India na China?hapo utaona umoja wa Africa hauna maana yoyote
Boss njaa kitu cha ovyo sana, na wengine wanategemea US awanunulie mafuta na kulipa mishahara yao sasa sijui kama watakubaliana na wewe
 
Hawa. Jamaa kwa Africa watafanikiwa kwa sababu ukisha sikia tamko kama hilo ina maana sanctions inakuwa imeongezwa kwenye swift which means unapoenda fanya TT kununua mafuta ya Russia unakuta hiyo bidhaa ipo Sanctions hence payment yako inakuwa rejected.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…