Akili ya kubeti
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 417
- 636
Gesti umelipia,Mchezo umelipia halafu unapangiwa pa kumwagia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu wanakuja na ngebe zao za demokrasia, Uhuru wa kutoa mawazo, haki za binadamu!!! Upuuzi mtupu! Kisa etu uchumi wetu mdogo!Unapangiwa hadi matumizi ya nishati na unajiita nchi iliyo huru?
Wapo wengi MK245 na wenzake akina NN na yule mpiga vitabu vya Mungu! Ha ha haaaa!Pamoja na kuonyesha dharau za. wazi hivyo kwa Africa, bado unakuta kuna Mwafrika anaipenda Marekani . siasa za nje za Marekani ni za hovyo sana hasa kwa mataifa masikini kama ya Afrika.
Unapangiwa hadi matumizi ya nishati na unajiita nchi iliyo huru? Wht th fk? !!!
He how feeds you controls you.Pamoja na kuonyesha dharau za. wazi hivyo kwa Africa, bado unakuta kuna Mwafrika anaipenda Marekani . siasa za nje za Marekani ni za hovyo sana hasa kwa mataifa masikini kama ya Afrika.
Sasa kwa sababu hujui ndio usifanye jitihada zozote za kujitoa huko?Hiyo nishati unajua hata mbinu za kuifua zaidi ya kupanda mihogo na mchicha, hayo mabwawa sijui ya Julius Nyerere mnajiua yanachimbwaje au lazima waje na mautalaam yao.
Umoja wa Africa (AU) wangekuwa watu hakika kamili, hakika wangepinga, Ila Kwa sababu ni vilema.......wataufyata. Hii ndio democracy tunayoambiwa!Naona Marekani anaelekea kuaibika!!!
Na ndio unaotufanya tuichukie Marekani.Ujinga kama huu ndio unaotufanya wengine tuungane na Urusi pale Ukraine.
Fikra za kitumwa hizoHiyo nishati unajua hata mbinu za kuifua zaidi ya kupanda mihogo na mchicha, hayo mabwawa sijui ya Julius Nyerere mnajua yanachimbwaje au lazima waje na mautalaam yao.
Wazo la ovyo sanaAfrica bila US haiwezekani
Point Yako naichukua kwa heshima kubwa.Pamoja na kuonyesha dharau za. wazi hivyo kwa Africa, bado unakuta kuna Mwafrika anaipenda Marekani . siasa za nje za Marekani ni za hovyo sana hasa kwa mataifa masikini kama ya Afrika.
Nenda kapigane ili tuone uungaji mkonoUjinga kama huu ndio unaotufanya wengine tuungane na Urusi pale Ukraine.
Pia wanasisitiza uhuru wa kujichagulia rafiki.Halafu wanakuja na ngebe zao za demokrasia, Uhuru wa kutoa mawazo, haki za binadamu!!! Upuuzi mtupu! Kisa etu uchumi wetu mdogo!
Uhuru wa kujichagulia rafiki.Halafu wanakuja na ngebe zao za demokrasia, Uhuru wa kutoa mawazo, haki za binadamu!!! Upuuzi mtupu! Kisa etu uchumi wetu mdogo!