Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi, nchi inayokaidi itashughulikiwa

Marekani yazitisha nchi za Afrika zisinunue mafuta ya Urusi, nchi inayokaidi itashughulikiwa

Huwa naikubali US ila sasa hapa kanishangaza....inakuaje vikwazo walivyoviweka wao walazimishe nchi zingine zipite humohumo as if ni UN ndio imetamka??...mungu ibariki AFRICA
 
Unapangiwa hadi matumizi ya nishati na unajiita nchi iliyo huru? Wht th fk? !!!

Hiyo nishati unajua hata mbinu za kuifua zaidi ya kupanda mihogo na mchicha, hayo mabwawa sijui ya Julius Nyerere mnajua yanachimbwaje au lazima waje na mautalaam yao.
 
Pamoja na kuonyesha dharau za. wazi hivyo kwa Africa, bado unakuta kuna Mwafrika anaipenda Marekani . siasa za nje za Marekani ni za hovyo sana hasa kwa mataifa masikini kama ya Afrika.
He how feeds you controls you.

Waafrika wataufayta na kutii agizo mana hawana ubavu wakupinga.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo nishati unajua hata mbinu za kuifua zaidi ya kupanda mihogo na mchicha, hayo mabwawa sijui ya Julius Nyerere mnajiua yanachimbwaje au lazima waje na mautalaam yao.
Sasa kwa sababu hujui ndio usifanye jitihada zozote za kujitoa huko?
 
Back
Top Bottom