Marekani yazuia silaha kwenda Israeli. Ni vilio kila kona kwa wanasiasa wa Marekani wanaofadhiliwa na Taasisi ya AIPAC

Marekani yazuia silaha kwenda Israeli. Ni vilio kila kona kwa wanasiasa wa Marekani wanaofadhiliwa na Taasisi ya AIPAC

Iran na urusi wanafanya biashara kila mtu ana uwezo hakuna mambo ta kusaidiana kama marekani na Israel
una uhakika Israel na Marekani hawafanyi biadhara??
Nadhan umesahau nini kilifanya uhusiaono wao ufike hatua hyo ya sasa
 
Mswada ushapita na biden kasain ulijumuisha ukrain na israel pamoja na katazo la tiktok marekan sa sjui unasema nn

Jifunze siasa za kimataifa kuna kusema na kuna kutenda ni vtu viwili tofaut

ICC ilisema putin akamatwe ila ad leo yuko kitaa
Nyantanyau walisema akamatwe ad leo yuko mtaa
Kuna kusema uonekane unafanya kaz ila kuna kutekeleza maelezo ulosema ni kitu kingne
ICC israel sio member so unazan kauri yao ina mazara gan kwa israel
 
una uhakika Israel na Marekani hawafanyi biadhara??
Nadhan umesahau nini kilifanya uhusiaono wao ufike hatua hyo ya sasa
Mi nazungumzia misaada ya kijeshi ya marekani kwa israel hayo ya biashara kama wanafanya wanajua wao.
 
Hadi kwenye biblia israel walikua wanasaidiwa ajabu ni nini
Maisha ni kusaidiana ndo maana hata wewe unaweza anguka hapo watu wasiokujua wakakubeba wakakupeleka hospitali
Ushaanzs stori za kwenye bibilia wakati mimi naongea mambo yanayoonekana mkuu.
 
Wewe ndo unayesema wanalazimisha
Kwa hiyo hao wabunge wa marekani ni wa-israel
Soma andiko langu hapo juu. Hao wabunge wanahongwa na taasisi ya Israel ili kuishawishi serikali ya marekani kutoa mabilioni ya dola kama msaada wa kijeshi kwa israeli.
 
Mswada ushapita na biden kasain ulijumuisha ukrain na israel pamoja na katazo la tiktok marekan sa sjui unasema nn

Jifunze siasa za kimataifa kuna kusema na kuna kutenda ni vtu viwili tofaut

ICC ilisema putin akamatwe ila ad leo yuko kitaa
Nyantanyau walisema akamatwe ad leo yuko mtaa
Kuna kusema uonekane unafanya kaz ila kuna kutekeleza maelezo ulosema ni kitu kingne
ICC israel sio member so unazan kauri yao ina mazara gan kwa israel
Sijakuelewa
 
Sasa wewe unachokataa ni nini? Au nikuwekee hapa barua iliyoandikwa na bunge la marekani kwenda kwa rais Biden kulalamika kuzuiwa kwa msaada wa silaha kwenda israeli ndio utaamini?
Usiwe mwepesi kuamini propaganda ndugu. Hizo ni diplomatic communications tu, lakini lengo la usaidizi liko palepale.
 
Ndio maana nimeandika hivyo. Wewe unatafuta kataarifa kokote kanakoelekea kuponda harakati za Israel kisha unakaleta hapa bila kufanya uchambuzi makini.
Taarifa zangi ni kutoka vyanzo vya uhakika mkuu
 
Usiiamini USA pale inapotoa kauli ya kwenda kinyume na mahitaji ya Israel. Ukisikia Politics, ndo hizo.
Mimi nakubaliana na wewe hapo.

America hawezi kuwacha msaidia Israel sababu hilo taifa walilitengeneza kwa target zao ni kwa ajili ya kuwadhuru warabu.

Israel bila US hana ubavu hata wa siku tatu kupigana na Hamas
 
Tatizo ni kuwajambisha wayahudi katikati ya vita .wanategemea mzigo ufike mapema ila ndio kama hivyo ucheleweshaji unawaathiri wao. Hii ndio shida ya kutegemea kunya kwenye choo cha jirani akitishia kidogo kufunga choo unaweza kujinyea.
Usije baadae na uzi wa kulia lia ,
 
Back
Top Bottom