Mgosi Mbena
JF-Expert Member
- Nov 28, 2023
- 499
- 604
una uhakika Israel na Marekani hawafanyi biadhara??Iran na urusi wanafanya biashara kila mtu ana uwezo hakuna mambo ta kusaidiana kama marekani na Israel
Mi nazungumzia misaada ya kijeshi ya marekani kwa israel hayo ya biashara kama wanafanya wanajua wao.una uhakika Israel na Marekani hawafanyi biadhara??
Nadhan umesahau nini kilifanya uhusiaono wao ufike hatua hyo ya sasa
Ushaanzs stori za kwenye bibilia wakati mimi naongea mambo yanayoonekana mkuu.Hadi kwenye biblia israel walikua wanasaidiwa ajabu ni nini
Maisha ni kusaidiana ndo maana hata wewe unaweza anguka hapo watu wasiokujua wakakubeba wakakupeleka hospitali
Biblia ndo iliyosema israel ni taifa teuleUshaanzs stori za kwenye bibilia wakati mimi naongea mambo yanayoonekana mkuu.
Soma andiko langu hapo juu. Hao wabunge wanahongwa na taasisi ya Israel ili kuishawishi serikali ya marekani kutoa mabilioni ya dola kama msaada wa kijeshi kwa israeli.Wewe ndo unayesema wanalazimisha
Kwa hiyo hao wabunge wa marekani ni wa-israel
Sasa kwani kila mtu anaamini bibilia mkuu?Biblia ndo iliyosema israel ni taifa teule
Wewe kuingiza taifa teule tayari umeshaongelea biblia
SijakuelewaMswada ushapita na biden kasain ulijumuisha ukrain na israel pamoja na katazo la tiktok marekan sa sjui unasema nn
Jifunze siasa za kimataifa kuna kusema na kuna kutenda ni vtu viwili tofaut
ICC ilisema putin akamatwe ila ad leo yuko kitaa
Nyantanyau walisema akamatwe ad leo yuko mtaa
Kuna kusema uonekane unafanya kaz ila kuna kutekeleza maelezo ulosema ni kitu kingne
ICC israel sio member so unazan kauri yao ina mazara gan kwa israel
Biblia ndo iliyosema israel ni taifa teule kama huiamini kwanini una-iquoteSasa kwani kila mtu anaamini bibilia mkuu?
Usiwe mwepesi kuamini propaganda ndugu. Hizo ni diplomatic communications tu, lakini lengo la usaidizi liko palepale.Sasa wewe unachokataa ni nini? Au nikuwekee hapa barua iliyoandikwa na bunge la marekani kwenda kwa rais Biden kulalamika kuzuiwa kwa msaada wa silaha kwenda israeli ndio utaamini?
Nioneshe kifungu cha bibilia nilicho quotesBiblia ndo iliyosema israel ni taifa teule kama huiamini kwanini una-iquote
Unajua maana ya propaganda?Usiwe mwepesi kuamini propaganda ndugu. Hizo ni diplomatic communications tu, lakini lengo la usaidizi liko palepale.
Ndio maana nimeandika hivyo. Wewe unatafuta kataarifa kokote kanakoelekea kuponda harakati za Israel kisha unakaleta hapa bila kufanya uchambuzi makini.Unajua maana ya propaganda?
Taarifa zangi ni kutoka vyanzo vya uhakika mkuuNdio maana nimeandika hivyo. Wewe unatafuta kataarifa kokote kanakoelekea kuponda harakati za Israel kisha unakaleta hapa bila kufanya uchambuzi makini.
Kwenye biblia wapi wamesema Israel iliyoanzishwa 1947 ni taifa teuleBiblia ndo iliyosema israel ni taifa teule
Wewe kuingiza taifa teule tayari umeshaongelea biblia
Post yako imenichekeshaVipi 🤣🤣
Jifunze compresion skills itakusaidia sanaK
Kwenye biblia wapi wamesema Israel iliyoanzishwa 1947 ni taifa teule
Mimi nakubaliana na wewe hapo.Usiiamini USA pale inapotoa kauli ya kwenda kinyume na mahitaji ya Israel. Ukisikia Politics, ndo hizo.
Usije baadae na uzi wa kulia lia ,Tatizo ni kuwajambisha wayahudi katikati ya vita .wanategemea mzigo ufike mapema ila ndio kama hivyo ucheleweshaji unawaathiri wao. Hii ndio shida ya kutegemea kunya kwenye choo cha jirani akitishia kidogo kufunga choo unaweza kujinyea.