MAREKEBISHO YA SHERIA: Sheria za Uhamiaji na Ardhi Zimefanyiwa Marekebisho. Je, Marekebisho Haya Yanatuletea Maendeleo au Hatari?

ukapata uraia ili tu kurahisisha mambo halafu unaambiwa wewe siyo Mtanzania!!
Umeiweka kirahisi sana, nchi ya TZ haina uraia pacha, kuchukua uraia wa nchi nyingine ni kukana uraia wa Tanzania. Na hivyo kupoteza sifa na haki za nchi yako ya zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…