Abdul Said Naumanga
JF-Expert Member
- Jan 28, 2024
- 673
- 1,318
- Thread starter
- #21
Yes, ni muswadaHaya mabadiliko ndiyo yanaandaliwa siyo? I mean bado hayajapelekwa bungeni na kupishwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, ni muswadaHaya mabadiliko ndiyo yanaandaliwa siyo? I mean bado hayajapelekwa bungeni na kupishwa?
Nafikiri ndio tunakoelekea,maana tunapiga hatua kidogo kidogoBado sana
Kwanini wasiwe kama Kenya
Tunataka dual citizenship, end off
Nafikiri ndio tunakoelekea,maana tunapiga hatua kidogo kidogo
Umeiweka kirahisi sana, nchi ya TZ haina uraia pacha, kuchukua uraia wa nchi nyingine ni kukana uraia wa Tanzania. Na hivyo kupoteza sifa na haki za nchi yako ya zamani.ukapata uraia ili tu kurahisisha mambo halafu unaambiwa wewe siyo Mtanzania!!
Umeiweka kirahisi sana, nchi ya TZ haina uraia pacha, kuchukua uraia wa nchi nyingine ni kukana uraia wa Tanzania. Na hivyo kupoteza sifa na haki za nchi yako ya zamani.