Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Atamshitaki jiwe kwa Mungu
Wamasai waliojitokeza dar ubalozini sio wamasai ni wahuni wsliokulia mjini hata masikio yao ni ya kawaida. Pia kuna watu wanaitwa waarusha wanazurura mijiji wakijiita wamasai .Naunga mkono hoja, Raise your voice to help the voiceless.
Wamasai wanalazimishwa kuondoka Ngorongoro kwa vipigo huku serikali ikitudanganya na maandamano feki ya "wamasai wa mjini"
Kumfurahisha mjomba kusiwaumize wamasai.
Kwa nini Beyonce Sasa?Ni katika muemdelezo wa sakata la wamasai wa Ngorongoro.
Bi Maria Sarungi ambaye ndiye mtu namba moja aliesimama kwa hali na mali kuwapigania Wamasai wa Ngorongoro ameamua kuishtaki serikali ya Tanzania kwa Mwanadada Beyonce na mumewe Jay Z.
Vita ya uchumi ni mbaya sana.
View attachment 2265420
Mbona nikama wewe ndo umeandika utoto.Jielimishe kwanza alichokua amekikusudia kukiwakilisha kwa jamii .sio mambo yakuchapana kama alivyowaza wewe kitoto.Nicheke kwa sauti,
Kwa hiyo Beyonce aje aichape serikali yetu,
Kumbe waeza kua kigagula lakini ukabaki na akili za kitoto.
Weka ushahidi
Nonsense
Amshitaki yeye mwenyeweWeka ushahidi
Ufisadi UPI huo?! lete hapa tuulipue..
Na ulivyo mweusi tii..akili yako itakuwa inawaza mapenzi tu...Maria anakili kuliko ukoo wenu woteAnamtaka Jayz [emoji41]
Hoja yako Mbona hatuioni ?Unaongea kuwa Maria Hana hoja.Sawa yako ni ipi?
Wamasai Ni moja ya vivutio hapo Ngorongoro
Yuko sahihi
Kama movie ya Royal Tour , hakuleta matekeo yoyote Basi Samia hajui lolote kuhusu Utalii.
Na hii kitu ita chafua sekta ya utalii