Maria Sarungi akamatwe, Maria Space ifungiwe

Msigwa anakuita...
 
Hiyo space wanaoifahamu hawafiki hata asilimia 20 ya wamiliki wa smartphone ,hakuna haja ya kumfungia huyo maria,hapo kama sio chuoni uliza watu kumi wenye smartphone nani anatumia x utapata majibu
 
Kwa hili sikubaliani nawe kada kindakindaki wa ccm.
Tunahitaji Alternative views and suggestion na nadhani bora ya Maria kuliko mange kimambi .

Ilitakiwa Maria kwenye zile space zake uwe.unaomba kipaza utoe na takwimu ili usaidie ccm ieleweke.
Kuna watu mpaka leo hatuelewi ni kwanini wamasai wanaondoshwa ngorongoro halafu wacheza filamu, ma business mogul wanapewa ardhi hili linahitaji taarifa zaidi ili tujue faida na manufaa yake.
 
The most idiotic thing I have ever read the past ten years and I read a lot
Upuuzi na upumbavu mtupu
 
Maneno mengi zote pumba alafu kwa umri ulio nao hujafahamu tanzania ina watu wapatao 60m pluss tafsiri yake kuna mawazo tofauti 60m ……. Sasa basi kulazimisha mawazo ya watu wote tuwe sawa ni kutu dhihirishia jinsi ulivyo na upeo mdogo wa kuelewa mambo ….. ushauri wangu kama hamhitaji mawazo mbadala pelekeni mswada bungeni ibaki chama kimoja basi wote tuimbe na kumsifu chura kiziwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…