Maria Sarungi akamatwe, Maria Space ifungiwe

Wewe tukukamate kwa kueneza kile Mungu anakataza…unakijua

Usitupangie. Ni haki yake kikatiba wewe nani wa kujiona nchi ni ya ukoo.
Tz ni yetu sote acha za kujisemeshasemesha dah

Mungu akutunze Maria
 
Huu ndio mtindio wa kufikiri typical. Wale wanaosimama na kumpamba kila kukicha Bila kuona baya lolote nao ushawashitaki wafungiwe? Akisema mabaya tu na wewe weka mijadala ya mazuri tu. Hii dunia inatutosha wote kila mtu ashike lake.
 
Na ambaye hajawahi ona baya lolote naye akamatwe?
 
Hiyo space wanaoifahamu hawafiki hata asilimia 20 ya wamiliki wa smartphone ,hakuna haja ya kumfungia huyo maria,hapo kama sio chuoni uliza watu kumi wenye smartphone nani anatumia x utapata majibu

Hata ndege wanatumia wachache ila serikali imewekeza matrilioni kuyanunua. Ina maana wanatumia watu wenye hadhi ya juu sio kila mtu.
 
Domokrasia watu hubwatuka tu hovyo,iwe matusi au kuhohoroja,mtazame tundu lissu akiongea,utapata picha ya domokrasia

Sio kwamba anaropoka, ni kwamba akili yako ipo Chini Sana kiasi kwamba huwezi kumwelewa anachoongea.
 
Punguza unafiki. Ukiulizwa alibwabwaja Nini utasema? Usipende kuongea mambo usilojua.
Nilikuwepo kwenye Hilo tukio wiki hii anaongea vitu vya ovyo sana. Si yeye tu Hadi wanasheria wakubwa kabisa walikuwepo na wao pia hawakua nyuma kuongea urojo .
 
Huyo mtoto wa mziba pancha ana akili ya kimaskini, na maskini siku zote ana chuki
 
Umesomea kitu gani nikusaidie kupata ajira kijana wangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…