Maria Sarungi alipewa na nani siri ya Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani wiki moja kabla ya kutolewa Taarifa rasmi?

Ndugu zangu Watanzania,

Unaweza ukaona kama ni jambo dogo lakini kwa jicho la tatu hili ni jambo kubwa sana linalopaswa kudhibitiwa kwa uharaka juu ya Mtu au watu au kikundi cha watu kinachoweza kuwa kinavujisha siri na taarifa za siri ambazo hazijawa rasmi na kutolewa kwa Umma.

Nasema hivi kwa kuwa wiki moja iliyopita Maria Sarungi niliona katika mtandao wake wa Twitter maarufu kama X akitoa taarifa kuwa Jumatano hii yaani kesho Rais wetu atatua Nchini Marekani. Ambapo Maria Sarungi alieleza mambo mengine ambayo mimi binafsi nayachukulia kama uzushi na muendelezo wa tabia yake ya kuendelea kuchafua wale wote alio na hasira nao na chuki binafsi. Kwa kuwa amekuwa akiongea na kuandika vitu pasipo ushahidi wa aina yoyote ile na hata yeye amekuwa akikiri kuwa hana ushahidi.

Sasa Leo taarifa rasmi imetolewa ambapo imeonyesha kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi atakuwa Marekani siku ya kesho baada ya kuondoka hii leo.hii ikimaanisha kuwa taarifa iliyotolewa na Maria Sarungi wiki moja iliyopita juu ya safari ya Mheshimiwa Rais kwenda Marekani ilikuwa sahihi japo naamini maneno mengine ni ya uongo,uzushi na uchonganishi pamoja na kutaka kuwapaka watu matope hasa wale ambao ana chuki nao binafsi na kutumika na kutumiwa na watu walio nyuma ya pazia.

Swali langu ni je nani anayevujisha siri na kumpatia Maria Sarungi? Kwa Malengo gani? Kwa maslahi gani kwa Taifa letu? Huyo mtu anataka nini? Anataka kujenga taswira ipi? Anamtumikia nani na kupokea maelekezo kutoka kwa nani?

Hata hivyo naipongeza sana awamu ya sita kwa namna ilivyodhibiti kwa kiasi kikubwa kudhibiti uvujaji wa siri za ikulu ukilinganisha na awamu iliyopita. Najuwa suala hili litafanyiwa kazi na wahusika na hatimaye kukibaini kirusi na kukiweka pembeni. Hongereni sana wahusika kwa kazi hiyo ya kudhibiti uvujaji wa taarifa za siri.naamini hata hili mmeshaanza kulifanyia kazi na muhusika au kirusi hicho kitabainika na kunaswa na hatimaye kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria ,miongozo,taratibu na miiko ya kazi yake.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

PIA SOMA
- Rais Samia kuondoka leo Oktoba 29 kuelekea Marekani kuhudhuria mjadala wa Norman E. Borlaug
Usalama wa Taifa umekufa, kuna mpasuko mkubwa sana idarani.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mtu au watu au kikundi cha watu kinachoweza kuwa kinavujisha siri na taarifa za siri ambazo hazijawa rasmi na kutolewa kwa Umma.

Lucas Hebel Mwashambwa,
Kwa kukusaidia tuu, ziara za rais sio siri kwa watu fulani fulani tukiwemo sisi media, Maria Sarungi ni mwandishi mahiri na makini wa habari na sio chawa kama...

Hakuna yoyote aliyevujisha hiyo wewe unayodhani ni siri, kuna safari za rais ni public na kuna safari ni private, safari private ndio siri, safari public sio siri, na kwa kukuongezea baada ya hapo ni Havana Cuba, siku ya Kiswahili Tarehe 7 November.

Naunga mkono Watanzania tusitoe nje siri zetu za ndani, ila ziara ya rais sio siri, tena kwa taarifa tuu, Ben na JK, kila wakisafiri, wanaandamana na kundi la watu zaidi ya 100 lile dreamliner letu la ATC lingekuwa fulu fulu kila ziara ya rais, na ku make Bingo! .

Mfano hai
Kwanza angalia tarehe ya bandiko hili kuhusu ziara ya rais Marekani Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York
Halafu angalia tukio lenyewe lilitokea baada ya muda gani?. New York: Uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour Tanzania - Starring Samia Suluhu Hassan, President of The United Republic of Tanzania
P
 
Ndugu zangu Watanzania,

Unaweza ukaona kama ni jambo dogo lakini kwa jicho la tatu hili ni jambo kubwa sana linalopaswa kudhibitiwa kwa uharaka juu ya Mtu au watu au kikundi cha watu kinachoweza kuwa kinavujisha siri na taarifa za siri ambazo hazijawa rasmi na kutolewa kwa Umma.

Nasema hivi kwa kuwa wiki moja iliyopita Maria Sarungi niliona katika mtandao wake wa Twitter maarufu kama X akitoa taarifa kuwa Jumatano hii yaani kesho Rais wetu atatua Nchini Marekani. Ambapo Maria Sarungi alieleza mambo mengine ambayo mimi binafsi nayachukulia kama uzushi na muendelezo wa tabia yake ya kuendelea kuchafua wale wote alio na hasira nao na chuki binafsi. Kwa kuwa amekuwa akiongea na kuandika vitu pasipo ushahidi wa aina yoyote ile na hata yeye amekuwa akikiri kuwa hana ushahidi.

Sasa Leo taarifa rasmi imetolewa ambapo imeonyesha kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi atakuwa Marekani siku ya kesho baada ya kuondoka hii leo.hii ikimaanisha kuwa taarifa iliyotolewa na Maria Sarungi wiki moja iliyopita juu ya safari ya Mheshimiwa Rais kwenda Marekani ilikuwa sahihi japo naamini maneno mengine ni ya uongo,uzushi na uchonganishi pamoja na kutaka kuwapaka watu matope hasa wale ambao ana chuki nao binafsi na kutumika na kutumiwa na watu walio nyuma ya pazia.

Swali langu ni je nani anayevujisha siri na kumpatia Maria Sarungi? Kwa Malengo gani? Kwa maslahi gani kwa Taifa letu? Huyo mtu anataka nini? Anataka kujenga taswira ipi? Anamtumikia nani na kupokea maelekezo kutoka kwa nani?

Hata hivyo naipongeza sana awamu ya sita kwa namna ilivyodhibiti kwa kiasi kikubwa kudhibiti uvujaji wa siri za ikulu ukilinganisha na awamu iliyopita. Najuwa suala hili litafanyiwa kazi na wahusika na hatimaye kukibaini kirusi na kukiweka pembeni. Hongereni sana wahusika kwa kazi hiyo ya kudhibiti uvujaji wa taarifa za siri.naamini hata hili mmeshaanza kulifanyia kazi na muhusika au kirusi hicho kitabainika na kunaswa na hatimaye kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria ,miongozo,taratibu na miiko ya kazi yake.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

PIA SOMA
- Rais Samia kuondoka leo Oktoba 29 kuelekea Marekani kuhudhuria mjadala wa Norman E. Borlaug

..Taarifa zinaweza kuwa ktk mtandao wa State Department / Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani.

..Pia unaweza kufuatilia ktk mtandao wa waandaaji wa mkutano ambao Raisi atahudhuria.

..Uwezekano mkubwa waandaaji wa mkutano watakuwa wametoa taarifa za viongozi wa nchi mbalimbali watakaoshiriki, pamoja na mada watakazotoa.

..Taarifa za Raisi wa nchi yoyote kusafiri hazipaswi kuwa siri. Ningekuelewa kama ungeilaumu Ofisi ya Raisi, au Wizara ya mambo ya nje, kwa kutokutoa taarifa kwamba Raisi atasafiri.
 
Baada ya ile kauli ya Samia khs watu kutekwa na kuuawa, alimtuma VP kumuwakilisha huko USA kwenye mkutano, Chadema wakadai n amepigwa ban kukanyaga USA 😂 leo cjui watasemaje
Watasema anazurura hovyo,anamaliza pesa zetu,kaitwa na mabeberu
 
Kwa kukusaidia tuu, ziara za rais sio siri kwa watu fulani fulani tukiwemo sisi media, Maria Sarungi ni mwandishi mahiri na makini wa habari na sio chawa kama...

Hakuna yoyote aliyevujisha hiyo wewe unayodhani ni siri, kuna safari za rais ni public na kuna safari ni private, safari private ndio siri, safari public siri.

Naunga mkono Watanzania tusitoe nje siri zetu za ndani, ila ziara ya rais sio siri, tena kwa taarifa tuu, Ben na JK, kila wakisafiri, wanaandamana na kundi la watu zaidi ya 100 lile dreamliner letu la ATC lingekuwa fulu fulu kila ziara ya rais, na ku make Bingo!
P
Sawa Mkuu Mwandishi Nguli wa habari na Wakili Msomi.

Naomba kukuuliza swali.kwa hiyo na wewe ulikuwa na taarifa wiki moja kabla kuwa Mama yetu mpendwa atatua Marekani kesho?
 
..Taarifa zinaweza kuwa ktk mtandao wa State Department / Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani.

..Pia unaweza kufuatilia ktk mtandao wa waandaaji wa mkutano ambao Raisi atahudhuria.

..Uwezekano mkubwa waandaaji wa mkutano watakuwa wametoa taarifa za viongozi wa nchi mbalimbali watakaoshiriki, pamoja na mada watakazotoa.

..Taarifa za Raisi wa nchi yoyote kusafiri hazipaswi kuwa siri. Ningekuelewa kama ungeilaumu Ofisi ya Raisi, au Wizara ya mambo ya nje, kwa kutokutoa taarifa kwamba Raisi atasafiri.
Umenijibu vizuri sana leo. Na nimekuelewa vizuri sana ndugu yangu.japo siku zingine huwa unaniporomoshea Mimatusi balaa😀😀.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Unaweza ukaona kama ni jambo dogo lakini kwa jicho la tatu hili ni jambo kubwa sana linalopaswa kudhibitiwa kwa uharaka juu ya Mtu au watu au kikundi cha watu kinachoweza kuwa kinavujisha siri na taarifa za siri ambazo hazijawa rasmi na kutolewa kwa Umma.

Nasema hivi kwa kuwa wiki moja iliyopita Maria Sarungi niliona katika mtandao wake wa Twitter maarufu kama X akitoa taarifa kuwa Jumatano hii yaani kesho Rais wetu atatua Nchini Marekani. Ambapo Maria Sarungi alieleza mambo mengine ambayo mimi binafsi nayachukulia kama uzushi na muendelezo wa tabia yake ya kuendelea kuchafua wale wote alio na hasira nao na chuki binafsi. Kwa kuwa amekuwa akiongea na kuandika vitu pasipo ushahidi wa aina yoyote ile na hata yeye amekuwa akikiri kuwa hana ushahidi.

Sasa Leo taarifa rasmi imetolewa ambapo imeonyesha kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi atakuwa Marekani siku ya kesho baada ya kuondoka hii leo.hii ikimaanisha kuwa taarifa iliyotolewa na Maria Sarungi wiki moja iliyopita juu ya safari ya Mheshimiwa Rais kwenda Marekani ilikuwa sahihi japo naamini maneno mengine ni ya uongo,uzushi na uchonganishi pamoja na kutaka kuwapaka watu matope hasa wale ambao ana chuki nao binafsi na kutumika na kutumiwa na watu walio nyuma ya pazia.

Swali langu ni je nani anayevujisha siri na kumpatia Maria Sarungi? Kwa Malengo gani? Kwa maslahi gani kwa Taifa letu? Huyo mtu anataka nini? Anataka kujenga taswira ipi? Anamtumikia nani na kupokea maelekezo kutoka kwa nani?

Hata hivyo naipongeza sana awamu ya sita kwa namna ilivyodhibiti kwa kiasi kikubwa kudhibiti uvujaji wa siri za ikulu ukilinganisha na awamu iliyopita. Najuwa suala hili litafanyiwa kazi na wahusika na hatimaye kukibaini kirusi na kukiweka pembeni. Hongereni sana wahusika kwa kazi hiyo ya kudhibiti uvujaji wa taarifa za siri.naamini hata hili mmeshaanza kulifanyia kazi na muhusika au kirusi hicho kitabainika na kunaswa na hatimaye kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria ,miongozo,taratibu na miiko ya kazi yake.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

PIA SOMA
- Rais Samia kuondoka leo Oktoba 29 kuelekea Marekani kuhudhuria mjadala wa Norman E. Borlaug
There is no secret under the sun,.nasikia tunaishi na majini ambayo hatuyaoni ukivua nguo unadhani uko peke yako kumbe majini tusiyo yaona yana kupiga deo
 
Kwani UWT wao huwa wanapewa taarifa na nani wanazileta humu kila kukicha?
 
Wachawi wapo ndani yenu, mnawakaribisha kina Steve Nyerere kuwa miongoni mwa waratibu achilia mbali serikali eti Ikulu then baadae unauliza nani anatoa siri? Jamii ya kina Steve wamepita achilia mbali mafunzo ya kule mbweni au Zanzibar khs uzalendo, siri na miiko ya kiusalama? Leo hii wanaingia Ikulu bila adabu kwa kutanua mabega kisa ushikaji na kina Waziri aisee this is a shame. PSU iheshimiwe, watu jamii ya kina steve kwenda kukutana na kina wazir just because of ushkaj na deal inaharibu taswira kbs ya protocal ya kiu salama ya Viongozi wetu wakuu!!
 
..ukiona mtu mzima kama mimi anakuporomoshea mitusi ujue kuna jambo la hovyo umefanya.🤣
Ulizidi sana matusi mpaka nikawa naamua kukusamehe tu kwa kufikiria kuwa kuna changamoto ya kimaisha unayopitia. ambapo unaona kila mtu anayeunga mkono serikali ni adui yako na anapaswa kumwagiwa na kumiminiwa matusi tu ya nguoni.
 
Amepata taarifa kwa walewale wanaoimba.. pamoja nawe Lucas Mwashambwa waweza kuwemo nimeisha nanyi sana
IMG-20241007-WA0000.jpg
 
Asafiri kiholela tu na aiwezi kuwa siri kwanza ana msafara mrefu achilia walinzi hapo wabebana watu luluki kutoka wizara ya kilimo na body zao za vyakula. Kutakuwa na siri gani.

Bado kunakuwa na watu kadhaa wa security details washatangulia kwa maandalizi. Afiki tu huko na kupewa chumba cha hoteli umuwekee hidden camera au vinasa sauti. Kuna team ya walinzi wake wanaenda kukagua mahala anapofikia week moja kabla, anaenda hadi na mpishi wake jiko lazima alizoee.

Kwa kifupi safari ya raisi nje ipo complicated kwenye matayarisho tu kiasi kwamba haiwezi kuwa siri, bado kuna wanazi wa CCM na sleeper cells wao waliojazwa ulaya kama diaspora watajua tu in advance kama atakutana na watanzania au lah ili watangaze mkutano kama vipi.

Polisi wa huko anakoenda lazima wajue akifika huko ulinzi wake ni jukumu lao, akitoka nje ya nchi tu hakuna siri.
 
Back
Top Bottom