saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.
Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa? Amemwumiza sana Rais wetu ambaye ndio kiongozi mkuu wa serikali familia isingetegemea uungwaji mkono wa maana.
Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu