Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

Tuseme Professor Sarungi alikuwa na mtoto mmoja tu ?

Hapo juzi kati mmemteka huyo Maria, asingeweza kuja Tanzania tena.

Na mnapoenda msibani kupiga vyoo picha mngekuwa watu si mngekuwa mmepatengeneza?

Anyways, Rest Well Professor.
 
Idiot
Ndio nyie mkiwa mwenye maamuzi mnauza nyumba ya mzazi kisa mtoto anadaiwa kuiba.

Katika viongozi ambao hawajui wasimame upande upi ni huyu wa kwetu. Anahubiri amani na mapatano wakati upande mwingine anaumiza watu.

Kama Maria alitekwa Akiwa nchi ya Kigeni Nini kitatokea akiwa kwao,unataka familia ya Sarungi iwe na misiba miwili? Mpuuzi wa mwisho wewe.
Kiongozi aliesema mbele za watu kuwa kifo ni kifo kwa kiongozi wa Upinzani alietekwa mchana kweupe kwenye basi akauwawa.

Ukiwa kiongozi kubali kuwa mvumilivu,huwezi kupendwa na kila mtu.

Hakuna njia nzuri kwenye kukosoa Ufisadi na ubadhirifu wa Mali Za Uma.

Usije Leta tena Usenge wako hapa wa kugeuza maandiko ya kitabu takatifu kuhalalisha wengine kuumizwa.

Vipi kuhusu Fatma Karume na Balozi Ally Karume,ni wakosoaji wakubwa tena ally ana matusi sana kwa Hussein Mwinyi je akifa Baba yake mtafanya kama kuutenga msiba wa babà yao?
 
Mara Paap Maria Sarungi Mbunge wa kuteuliwa na Waziri wa Katiba na Sheria! Hahaha 😂 nani alijua Mange Kimambi atapewa Passport na nani alijua Papii na Baba yake na wadogo zage wangefutiwa hukumu ya kifungo cha maisha. Ukweli ni kuwa dunia inaendeshwa na mfumo wa kufurashishana na siyo ukweli, duniani siku hizi ukweli haupo!
Kıla aliyejibu uzi huu asome comment hii ni muhimu kwake. Tuyaache yalivyo
 
Nonsense! Kwani ukijani ndo unawatoa akili kiasi hiki?? Kwamba akihudhuria rais au waziri ndo atafufuka huyo marehemu? Wewe mambo ya kina Sarungi yanakuhusu nini?watu wenyewe huwafahamu umeishia kuwaona tu kwenye mtandao unakuja na Uzi mrefu usio na maana!
 
Whats important sio kuzikwa na watu wengi au mashuhuri au watu wachache kiasi gani 😳.

Bali What’s important ni kwamba katika maisha yako ulifanya mambo mangapi kwa binadamu wenzio na hata kwa wanyama ambayo yaliwasaidia sana sana tena bila mhusika kutaka kujilimbikizia mimali miiiingiiii 😳🙄😱 !

Kama ulijifanya unawasaidia Watu kumbe at the back of your mind ulikuwa unajilimbikizia mimali kama vile utaishi milele, Ujue kuanzia hapa Duniani no peace of mind na huko uendako pia ni mashaka makubwa ! 😳. !
 
Kwa ufupi umeendika nini ? Ukiweza kusema bila matusi, tutakuelewa zaidi... yani kwa Busara, What happened to JF, The home of great thinkers ?.
 
Back
Top Bottom