Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.

Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa? Amemwumiza sana Rais wetu ambaye ndio kiongozi mkuu wa serikali familia isingetegemea uungwaji mkono wa maana.

Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Nonsense!

Kwamba Serikali au mamlaka ingemfufua Marehemu?
 
Kwani wapi nimekataza kutoa maoni?

Wewe unajua hata kusoma kwa ufahamu?

Hata hiyo hoja ua mipaka unayoisema ya sheria ni logical fallacy ya "argument from authority".

Sheria si lazima iwe haki, sheria si kazima iwe sawa.

Ndiyo maana sheria za kibaguzi zilibadilishwa Afrika Kusini.
Hajaingilia faragha ya watu kwasababu Maria mwenyewe kaweka mambo hadharani , kuwa hajafika msibani kwasababu hizo sasa huyu jamaa katoa ushauri na maoni yake sasa kwanini hutaki afanye hivyo?
 
Hiyo ni familia ya Sarungi.

Wameamua maisha yao yawe hivyo. Hata hatujui wenyewe wamekubaliana nini.

Wewe ni nani wa kuwapangia maisha na mazishi?

Wewe nawe ni mtoto wa Sarungi?
Wajinga wapo wengi sana Tanzania ya miaka ya kuanzia miaka ya 2000.

Ni kuwavumilia tu, makosa yameshafanyika tangu tukiwa watoto wadogo.
 
Hajaingilia faragha ya watu kwasababu Maria mwenyewe kaweka mambo hadharani , kuwa hajafika msibani kwasababu hizo sasa huyu jamaa katoa ushauri na maoni yake sasa kwanini hutaki afanye hivyo?
Kwanza kabisa ushauri wa jambo la faragha kama hili kwa Maria angemtafuta Maria mwenyewe ampe.

Hapa JF ushauri huu ni kama kumbagaza na kumnyanyapaa mfiwa kuwa hajafika msibani kwa ujinga wake.

Mtu anaanza kwa kuandika "Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu."

Kwani kila mtu anaiamini hiyo Biblia?

Unajuaje makubaliano ya familia yalikuwaje? Unajuaje prioroties za famikia zilikuwaje?

Ndiyo maana nakwambia Maria kapata msiba wa kufiwa na baba yake halafu anapata msiba wa kusimangwa na Waswahili wasio na heshima kwenye misiba ya watu.

Wabongo wengi ni sadists wanajificha nyuma ya dini kufanya u sadism wao.
 
Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.

Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa? Amemwumiza sana Rais wetu ambaye ndio kiongozi mkuu wa serikali familia isingetegemea uungwaji mkono wa maana.

Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Huu ni mtizamo wa kidunia at its' best.So kwa mtizamo wako kuzikwa ni jambo la maana sana,wala sio. Kumjua Bwana Yesu ndio the single most important thing.Kwani wanaofia baharini na hata wengine wanakufa bila kuwa identified wanazikwa na nani.Acheni ujinga,concentrate on more important issues.
 
Kwani hao watu wengine wangeenda kungeleta tofauti gani?

Watu mnapenda sana kujali vitu na mambo ya watu wengine pasipo wao kuonyesha kujali yale ambayo mnayajali nyinyi kuhusu wao.

Ni kama huwa mnasubiri kuona nani kafa halafu muanze kuchunguza nani kachanga na nani hajachanga na nani kaja na nani hajaja ili mpate cha kuchongea domo!

Shameful!
Upo sahihi kabisa.
Mzee alioa mzungu. Alikosea? Hapana. Hakukosea.
Nadhani ni uungwana kujizua kuamulia watu maisha yao.
Maisha ni mali binafsi.
Tunaishi duniani mara moja tu!
Ruhusu watu wafurahie wanavyotamani kuwa. Tujizuie kuwapangia.
 
Shughuli iliisha Kareemjee pale the rest inatakiwa tujifunze ku offer private burial
 
Kibongobongo private burial si utaitwa mchawi?

Watu kuheshimu msiba mitandaoni tu wameshindwa, wanajiweka katikati msiba hata si wao.

Itakuwa huko kwenye kuzika?
 
Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.

Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa? Amemwumiza sana Rais wetu ambaye ndio kiongozi mkuu wa serikali familia isingetegemea uungwaji mkono wa maana.

Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Hakika
 
Uko sawa. Ingekuwq vema mazishi kuongozwa na Makamu wa Rais au Waziri Mkuu.
 
Na ww ni dish hujui mtu ukifa umekufa unataka uagwe kwa matarumbeta unaandika upotoshaji ni vyema ukabaki na msimamo wako
 
Back
Top Bottom