Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.

Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?

Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Wajinga wengi sana. Kwahiyo wamemkomoa maiti kisa mtoto wake,🚮🚮🚮🚮🚮
 
Rejea mawe uliyorushiwa na wanajukwaa kisha ujitafakari. Ningekuwa mimi ningewaomba moderators wafute uzi
 
Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.

Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?

Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Uhai ni jambo la msingi bora baba yake kazikwa , naye huko aliko anapewa rambirambi katika wakati huu mgumu wa majonzi anamwombolezea baba yake huko huko aliko na baba yake hata kama amekufa lakini roho yake inamwombea Maria Sarungi maisha marefu na yenye mafanikio.
 
Umeandika UPUMBAVU
Kwa hiyo kuisifia CCM na kujiunga na serikali kandamizi ndiyo fahari ya mtoto kwa Baba yake?

Nina Hakika Baba huko alipo anafuraha kuona mwanaye anapambana kwa kila namna kuhakikisha serikali kandamizi ya Samia inaondoka.
 
Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.

Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?

Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Walaaniwe waliomsusa Professor Sarungi, mbona hao ngedere hawajamsuma Amani Karume kwa sababu za Fatma Karume na upumbavu wake.
 
Walimwengu wanauliza je, ingekuwa Karume nae angesuswa kwa sababu ya Fatma ?....

Hata hivyo, kwa ambao wanamuhukumu Mzee Sarungi kwa kumtomkaripia mwanae naona kama hawaelewi kuwa kuna umri mtu akishafikia na akatoka kwenye mamlaka yako. Huwezi kumpangia ni nini afanye ama asifanye

Mzazi anabaki ni mshauri tu na kwa umri wa mzee sarungi sidhani kama angeweza kushughulika na masuala Ya Maria
Kwani hata msiba usingesuswa Sarungi angefufuka??? Na je kwann huu utamaduni wa kijinga kuhukumu watu kwasababu ndg zao ni wapinzani unaota mizizi??? Huu ubaguzi utakuja kujutiwa mtu ahukumiwe kwa kosa lake sio uonevu na kujumlisha jumlisha
 
Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.

Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?

Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Marehemu huwa hawana kosa.
Lakini najiuliza, hivi kwa nafasi yake kifamilia, Mzee Sarungi alishingwa kumkanya mwanawe ?
 
Hivi mawaziri wastaafu wangapi wamefariki bila maziko yao kugeuzwa suala la taifa? Kwa mawazo yangu bila yeye kuwa mzazi wa Maria, marehemu angezikwa kama alivyoishi. Minding his own business na kutojihusisha na mambo ya jamii. Inabidi tuheshimu faragha za wale waliokuwa viongozi. Hamna sababu yeyote ya kumzungumzia Maria katika wakati huu mgumu nje ya kumpa pole na kumuomba Mwenyezi amfariji yeye na ndugu zake katika wakati huu wa majonzi kwao.

Tunachokifanya ni pathetic.

Amandla...
 
Idiot
Ndio nyie mkiwa mwenye maamuzi mnauza nyumba ya mzazi kisa m

toto anadaiwa kuiba.

Katika viongozi ambao hawajui wasimame upande upi ni huyu wa kwetu. Anahubiri amani na mapatano wakati upande mwingine anaumiza watu.

Kama Maria alitekwa Akiwa nchi ya Kigeni Nini kitatokea akiwa kwao,unataka familia ya Sarungi iwe na misiba miwili? Mpuuzi wa mwisho wewe.
Kiongozi aliesema mbele za watu kuwa kifo ni kifo kwa kiongozi wa Upinzani alietekwa mchana kweupe kwenye basi akauwawa.

Ukiwa kiongozi kubali kuwa mvumilivu,huwezi kupendwa na kila mtu.

Hakuna njia nzuri kwenye kukosoa Ufisadi na ubadhirifu wa Mali Za Uma.

Usije Leta tena Usenge wako hapa wa kugeuza maandiko ya kitabu takatifu kuhalalisha wengine kuumizwa.

Vipi kuhusu Fatma Karume na Balozi Ally Karume,ni wakosoaji wakubwa tena ally ana matusi sana kwa Hussein Mwinyi je akifa Baba yake mtafanya kama Isskuutenga msiba wa babà yao?

Sarungi sio mkuu kuliko Yeshua Masihi au Yesu au Issah .
Yesu alizikwa na mtu mmoja .
Pilato hakuhudhuria mazishi ya Masihi Yeshua .
Makuhani na pia Herode hawakuhudhuria mazishi ya Yesu , kwa sababu ulikua ni utawala wa Shetani.
 
Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu.

Prof. Sarungi alikuwa mtu mkubwa amewahi kuwa waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga Taifa, Afya, Elimu n.k Hizo ni wizara kubwa kubwa sana. Level yake ni kuanzia waziri mkuu mpaka Rais wa nchi. Sikumwona ht mkuu wa majeshi. Mtoto mpumbavu ni mzigo. Hakuna binadamu mwenye damu na nyama asiyeweza kuumia, mbona ye ameogopa kuhudhuria mazishi ya babake? Si anaogopa ataumizwa?

Tuwe wakali kwa watoto uhuru una mipaka na siasa iendeshwe kistaarabu, ni vigumu sn yule binti kushindana na serikali kwa nguvu, serikali ni dude kubwa sana lenye nguvu sana. Tuheshimu mamlaka maana zote zawekwa na Mungu
Kama kweli viongozi wamesusia wafiwa na miati kwa sababu tu ya mtoto wao (wafiwa) kutetea haki, kuitaka serikali itende haki kwa raia wake hawana utu, ubinadamu na hawatufai .
 
Hayo Mazishi ilitakiwa aongoze Binam Bananga
 
Watanzania wengi ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu mambo wasiyoyaelewa.

Mtu hajaombwa ushauri na familia ya Sarungi.

Mtu haijui familia ya Sarungi.

Mtu haelewi makubaliano ya familia ya Sarungi.

Lakini atakuja hapa JF kwa kimbelembele kama kaombwa ushauri na familia, kama anaijua familia, kama anajua mambo anayoshauri.

Halafu hapo si ajabu hana hata life insurance ya kuhakikisha familia yake itabaki poa akifa.

Mambo ya Sarungi, muachie Sarungi mwenyewe.
Mbona we unatoa ushauri?
 
Back
Top Bottom