1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Marehemu huwa hawana kosa.
Lakini najiuliza, hivi kwa nafasi yake kifamilia, Mzee Sarungi alishingwa kumkanya mwanawe ?
Mamlaka zinazowekwa na Mungu ni zile ambazo zimepita kihalali na siyo kama hizi zinazochakachua matokeo Kwa kuiba kura
Ni kweli kabisa .
CCM kwa mfano kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa walipata kura chache sana kutokana na Watu wengi kushindwa kujiandikisha .
Udanganyifu mkubwa sana ulifanywa na wasimamizi kuongeza kura feki.
Ni chukizo kubwa sana kwa Mungu kwa Utawala wa hila kusingizia kuwa ni utawala uliowekwa na Mungu.
Utawala uliowekwa na Mungu unatokana na nguvu ya Umma au Jeshi sio raia kudanganya kwa hila na uongo huku wakiwadhulumu walioshinda kwa halali na kuweka walioshindwa kwa kukataliwa na kura za wananchi