Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

Kwa jinsi ulivyoandika hapo,inaonekana kwamba Maria Sarungi alikuwa sahihi alivyoamua kwamba hatahudhuria mazishi ya baba yake.
Ni kwa ajili ya kukosa majukwaa kama yale ya frank discussion ndio unaona leo Kongo wanapigana civil war.
 
Mtoto wa Kike hawezi kuongoza Mazishi! Labda swali la kujiuliza kwenye familia ya marehemu hakukuwepo na mtoto wa kiume kuongoza mazishi?
 
Inawezekana aina ya vyakula ndio vinafanya watu wanakua na udumavu wa kufikiri kama uzi huu unavyojieleza...
 
Mamlaka zinazowekwa na Mungu ni zile ambazo zimepita kihalali na siyo kama hizi zinazochakachua matokeo Kwa kuiba kura
 
Back
Top Bottom