GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
kamuwakilishe.Maria ni laana kwa familia yake yote. Kumbe yeye mwenyewe hakuja msibani?
Ila kutwa kucha mnalaumu kutohudhuria 😂😂Afadhali hakuhudhuria , angetia nuksi msiba wa watu!
Kıla aliyejibu uzi huu asome comment hii ni muhimu kwake. Tuyaache yalivyoMara Paap Maria Sarungi Mbunge wa kuteuliwa na Waziri wa Katiba na Sheria! Hahaha 😂 nani alijua Mange Kimambi atapewa Passport na nani alijua Papii na Baba yake na wadogo zage wangefutiwa hukumu ya kifungo cha maisha. Ukweli ni kuwa dunia inaendeshwa na mfumo wa kufurashishana na siyo ukweli, duniani siku hizi ukweli haupo!
Ccm ni bambo pro maxHivi ukiwa CCM na uwezo wa kufikiri unashuka? RUBBISH
Eeee! Humkumbiki Pole pole kabla hajajiunga CCM? Kumkumbuki Bashiru kabla hajajiunga CCM? Humkumbuki palamagamba kabla hajajiunga CCM?Hivi ukiwa CCM na uwezo wa kufikiri unashuka? RUBBISH