Maria Sarungi amemharibia babake: mazishi yake si ya kuongozwa na Ridhiwani

Nonsense!

Kwamba Serikali au mamlaka ingemfufua Marehemu?
 
Hajaingilia faragha ya watu kwasababu Maria mwenyewe kaweka mambo hadharani , kuwa hajafika msibani kwasababu hizo sasa huyu jamaa katoa ushauri na maoni yake sasa kwanini hutaki afanye hivyo?
 
Hiyo ni familia ya Sarungi.

Wameamua maisha yao yawe hivyo. Hata hatujui wenyewe wamekubaliana nini.

Wewe ni nani wa kuwapangia maisha na mazishi?

Wewe nawe ni mtoto wa Sarungi?
Wajinga wapo wengi sana Tanzania ya miaka ya kuanzia miaka ya 2000.

Ni kuwavumilia tu, makosa yameshafanyika tangu tukiwa watoto wadogo.
 
Hajaingilia faragha ya watu kwasababu Maria mwenyewe kaweka mambo hadharani , kuwa hajafika msibani kwasababu hizo sasa huyu jamaa katoa ushauri na maoni yake sasa kwanini hutaki afanye hivyo?
Kwanza kabisa ushauri wa jambo la faragha kama hili kwa Maria angemtafuta Maria mwenyewe ampe.

Hapa JF ushauri huu ni kama kumbagaza na kumnyanyapaa mfiwa kuwa hajafika msibani kwa ujinga wake.

Mtu anaanza kwa kuandika "Biblia imeandika "mtoto mpumbavu ni mzigo kwa mamaye na mtoto mwerevu ni sifa kwa babaye" Mtoto hasa wa kiongozi mkubwa anatakiwa awe mwerevu."

Kwani kila mtu anaiamini hiyo Biblia?

Unajuaje makubaliano ya familia yalikuwaje? Unajuaje prioroties za famikia zilikuwaje?

Ndiyo maana nakwambia Maria kapata msiba wa kufiwa na baba yake halafu anapata msiba wa kusimangwa na Waswahili wasio na heshima kwenye misiba ya watu.

Wabongo wengi ni sadists wanajificha nyuma ya dini kufanya u sadism wao.
 
Huu ni mtizamo wa kidunia at its' best.So kwa mtizamo wako kuzikwa ni jambo la maana sana,wala sio. Kumjua Bwana Yesu ndio the single most important thing.Kwani wanaofia baharini na hata wengine wanakufa bila kuwa identified wanazikwa na nani.Acheni ujinga,concentrate on more important issues.
 
Upo sahihi kabisa.
Mzee alioa mzungu. Alikosea? Hapana. Hakukosea.
Nadhani ni uungwana kujizua kuamulia watu maisha yao.
Maisha ni mali binafsi.
Tunaishi duniani mara moja tu!
Ruhusu watu wafurahie wanavyotamani kuwa. Tujizuie kuwapangia.
 
Shughuli iliisha Kareemjee pale the rest inatakiwa tujifunze ku offer private burial
 
Shughuli iliisha Kareemjee pale the rest inatakiwa tujifunze ku offer private burial
Kibongobongo private burial si utaitwa mchawi?

Watu kuheshimu msiba mitandaoni tu wameshindwa, wanajiweka katikati msiba hata si wao.

Itakuwa huko kwenye kuzika?
 
Hakika
 
Uko sawa. Ingekuwq vema mazishi kuongozwa na Makamu wa Rais au Waziri Mkuu.
 
Na ww ni dish hujui mtu ukifa umekufa unataka uagwe kwa matarumbeta unaandika upotoshaji ni vyema ukabaki na msimamo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…