Matunda _Kuniga
JF-Expert Member
- Jun 2, 2019
- 231
- 178
Usitumie vyeti visivyo vyako kufanya kaz serikalini 😀 madhara yake ndio haya.Kabisa mdogo wangu, tulimtoa mzungu kwasababu ya kutuonea na kutunyanyasa, lakini sasa mwafrika mwenzetu ametugeuka, anasema tutaenda kwa fimbo. Amesahau kuwa hizi ndizo fimbo walizotuendeshea wazungu huku wanajenga miundo mbinu na viwanda.
Tumerudi kulekule.
Poor my land Tz. Ipo siku utakomboka.
Ukute hata vigezo vyenyewe hauvijui, inaonekana jamaa kasuku sana wewe. Kama unavyosema hela ya mabeberu.Ukiulizwa mabeberu ni wakina nani utajibu kweli? haya mnaforce upinzani upokee special seats...ili mpate pesa kutoka kwa donor countries, je hao ndio mabeberu?kujimwambafai kwa huyu dada. Huo upupu hauna vigezo vya kupokelewa kwenye ICC . Propaganda tu ; hela ya mabeberu siyo lelemama.
Risiti anazo Robert AmsterdamRisiti za kupeleka hizo information ameonyesha?
Nimemtaja kama mfano.Mbowe anataka kugombea urais?
Mazwazwa ni hawa wanaoteuliwa na mwenyekiti wa Lumumba.ICC sio mazwazwa kama wengi wanavyofikiria.
Unatengeneza movies mkuu?TANGAZO. Tunauza movies za aina zote, bei ni 1500 - 3500 (inategemea ukubwa wa movie) pia tuna tuma kwa WhatsApp na E-mail. Ni PM kwa wanaohitaji!!! KARIBUNI SANA!
Mkuu acha matusi ya bei rahisi[emoji23]Mazwazwa ni hawa wanaoteuliwa na mwnyekiti wa Lumumba
Ndio maana Marekani haitaki hii ICC.Kimsingi huwezi kuisanction Government either way ndo maana hata kwenye Civil Procedure Code inakuelekeza kwamba huwezi ku attach Government properties, whatsoever wala huwezi kuilazimisha Serikali kitu chochote basically huwezi kuiwajibisha serikali kwa kutumia mahakama za ndani
yule ni international figure zaidi ya samia suluhu ni suala la muda tuHuyo Maria Sarungi ni nani kwenye nchi hii?
Anajiona ni mtu muhimu sana anaeweza kusikilizwa na jumuia za kimataifa?
Ila huwa hawaguswi na serikali,pengine hiyo inawapa ujasiri.Tunahitaji sana Iron Ladies hawa nchini kwetu.
Kaamua kufanya kweli, hajaishia kulalamika chinichini tu.
Halafu kaweka mambo wazi bila woga, katika nchi ambayo karibu kila mtu anakubali kutawaliwa na woga.
Halafu utashangaa hizo familia zenye privilege kima Sarungi na Karume wanalalamika, wakati watu wanaoumizwa wengi wamenyamaza tu, au hata wanautetea mfumo dhalimu.
potelea mbali vyovyote itakavyokuwa haya maisha tunapita tu wacha waende ICC wakutanishwe na Fatou BensudaMaria,
Unamuaibisha mjukuu wangu Prof Sarungi na sifa zako za kijinga. Profesa ametumikia taifa la Tz kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu. ICC hawafanyi kazi kwa cheap politics. Tizama ni vema ukaongeza marafiki kuliko kuongeza maadui.
Kama Maria anaona shida kuishi Tanzania aondoke yeye na wenzake watuachie nchi yetu.Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"
Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.
Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.
Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:
Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -
Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!
Mbona kamsahau Makonda, Mwigulu, Rpc Dodoma, na kamanda anda maalum Dar?Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu.
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa kupeleka nyaraka muhimu ICC zinazohusu ukiukwaji wa haki za biandamu wakati wa uchaguzi mkuu, nawashukuru pia wote tulioshirikiana"
Miongoni mwa nyaraka hizo zipo video, picha za mauaji, kauli za vitisho kutoka kwa watawala dhidi ya upinzani na video zinazoonyesha polisi wakipiga raia.
Mtuhumiwa namba moja kwenye nyaraka hizo ni Rais John Pombe Magufuli. Aidha wapo pia IGP, DC Lengai Ole Sabaya, RC wa Mbeya Albert Chalamila na baadhi ya watendaji wakuu wengine wa serikali ya Tanzania na jeshi la polisi.
Kwenye Mtandao wa Twitter, Maria kaandika hivi:
Thank God! Alhamdulillah! I have used my skills, training and ability as a journalist to fulfill my duty and submitted to @IntlCrimCourt evidence and facts on Crimes against Humanity in #Tanzania - many thanks to everyone Nawashukuru nyote -
Leo nimekamilisha kazi Mungu atulinde!
Kila mtu anatetea kitumbua chake, hizi NGO zinawatajirisha sana watu "keep it Up" MariaMoja damu ya Kiarabu, nyingine damu ya Kizungu!
Hizo ni damu bishi hazikubali ukondoo kondoo kirahisi rahisi
View attachment 1623116
Hata wachungaji hula madhabahuni, wacha naye ale kwenye NGO yake!Kila mtu anatetea kitumbua chake, hizi NGO zinawatajirisha sana watu "keep it Up" Maria
Ndio maana nimekazia hapo hapo kuwa kila Mtu anatetea kitumbua "chake"Hata wachungaji hula madhabahuni, wacha naye ale kwenye NGO yake!
Ulishajiuliza kwa nini Mungu aliruhusu Yohana akatwe kichwa au Daniel afungwe gerezani?Kwanini Mungu hakulinda kura zisiibiwe?