Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Heshima na Utii kwa Rais wa JMT na amir jeshi Himaa Himaaaaa TANZANIAA kwenye magwaride yao kama umewahi kuhudhuria
Hii ni amri
 
The only person who might tarnish her presidency is Jakaya Kikwete!! Huyu ni mtu hatari sana ambae Rais anatakiwa atumie busara na akili kumkwepe ingawa alijinasibu kuwa alikuwa instrumental kumpandisha Samia mpaka hapo alipo!!
Ana uswahili Swahili fulani hivi halafu ni mtu wa makundi ambayo ni divisive!!!
Ni kweli ulilosema jakaya ni nyoka,ana michezo ya hatari sana wanaomfahamu wanalijua vizuri,mama anatakiwa awe smart sana... Jamaa ni nyokaaa.
 
Jamaa ana wasalimia
cloudstv-20210328-0001.jpg
 
Natamani nianze kampeni ya kumwondoa kwenye system hyu mnyarwanda,yaani nimeunga dot hyu bashiru hafai kwa ustawi wa serikali yetu,unampangia samia ziara ya siku saba ikiwa raisi yupo hoi kitandani?mlitaka kuipindua katiba?na vipi majaliwa kuahirisha ziara afu makamu akapangiwa ziara yaani basi tu
 
The only person who might tarnish her presidency is Jakaya Kikwete!! Huyu ni mtu hatari sana ambae Rais anatakiwa atumie busara na akili kumkwepe ingawa alijinasibu kuwa alikuwa instrumental kumpandisha Samia mpaka hapo alipo!!
Ana uswahili Swahili fulani hivi halafu ni mtu wa makundi ambayo ni divisive!!!
Well said!
 
Its very true that the message was NOT intended for the WHOLE public consumption but rather for few power mongering individuals within the upper political class. Hata ile tu ya kumpa CDF nafasi ya kuongea kwa niaba ya vikosi vya ulinzi na usalama it was UNUSUAL according to our burial rituals.

Kuna mengi nyuma ya pazia.
Umenikuna sana kiongozi, nimependa intellect yako, wewe ni mtu uonaye in 3D
 
Una point ya msingi, nilikua najiuliza mbona yule mjeda yuko karibu sana na rais na sio kawaida kuwa na adc na body guard wa rais na mjeda mwingine...
Ok

mjeda gani nanyinyi kulikuwa na adc wa mwinyi pale alikuwa anaonekana muda wote msichanganye mambo.
 
Ni kweli ulilosema jakaya ni nyoka,ana michezo ya hatari sana wanaomfahamu wanalijua vizuri,mama anatakiwa awe smart sana... Jamaa ni nyokaaa.

Unyoka wake aliudhihilisha pale alipoongopa juu ya marehemu Magufuli wakati wa msiba kuwa Magufuli alikuwa chaguo lake mwaka 2015!! Samia inawezekana hamjui lakini vyombo vya ulinzi na usalama hawana budi kumlinda kwa hili!
 
Back
Top Bottom