T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kibuta ndio nani mbona simjuiDiwani, Kibuta sioni wakiwa ofisini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. Mambo sasa sioni akiwa ofisisini.. viva CDF mabeyo na IGP Siro [emoji5][emoji5]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibuta ndio nani mbona simjuiDiwani, Kibuta sioni wakiwa ofisini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].. Mambo sasa sioni akiwa ofisisini.. viva CDF mabeyo na IGP Siro [emoji5][emoji5]
Waitara kastaafu 2007, kisheria! Na ndio muda alioacha u-cdf...Kikwete hakuendana na Waitara alimbadilisha na kumuweka Mwamunyange!!
Wewe ni mmoja wao waliotaka kufanya mapinduziNi lini jeshi lilishatoa kauli ya kutomtii Rais mbele ya hadhara kiasi ambacho tuone ajabu CDF kusema atamtii Rais?
Head wa PSU. Ngoja wapambane na hali zao tu. Tunataka Tanzania iliyo salama na yenye amani.Kibuta ndio nani mbona simjui
Tumesikia, wapo waliojichotea Mabillioni kule hazina kwa kigezo cha kununua vifaa vya kumtibu Rais Magufuli. Wengine hela zile baada ya kuchukua wamegawa kwa wajumbe kumpitisha mtu wao kuwa Makamo Wa Rais. Pita nao woteeeeee!!! Raia na Jeshi lipo nyuma yako Mama!!!
Mkuu unapoteza muda wako na huyo pimbi!Acha kubwata povu,toa maoni
Umeandika nini sasa wewe kima?Hatubadrshi ndyo nn???achana na hlo we ni chakubanga tu wala ucjitutumue
Umefanya chambuzi nzuri, ila nina mashaka kama inatekelezeka.Nime NOTE mambo mawili makubwa kutokana na speech aliotoa CDF Mabeyo jana.
Kwanza, kitendo cha kutamka kwamba Jeshi kuweka nadharia na tamko la kumtii Rais Samia kama jinsi katiba inavyotaka. Imeashiria kuna watu nyuma ya pazia walianza kushawishi na kusambaza propaganda chini kwa chini kwa jeshi na vyombo vingine kukataa kumtii na kumtambua Rais Samia. Kifupi, kuna struggle of power ilitaka kutokea mara baada ya Rais Magufuli kuugua sana na baada ya kufariki, kupelekea CDF Mabeyo kuingilia kati na kugoma kwenda kinyume na katiba kwa vishawawishi wa waliotaka kufanya mapinduzi.
REF Pia: Tarehe ambazo Rais Magufuli alivyougua sana na ndio usiku wake akafariki, Makamo Wa Rais Samia alipangiwa ziara ya kwenda Tanga ya Siku 7, na alisisitiza sana kwa msisitizo wa juu kabisa kutuomba raia tumuombee dua kwa mungu yeye na msafara wake uende salama na urudi salama alipokua Tanga akihutubia, alionekana ni mtu mwenye hofu na mashaka juu ya usalama wa msafara wake (Rudia kuangalia video zile).
Ziara za viongozi huwa zinapangwa kutoka kwa "Katibu Mkuu Kiongozi Ofisi Ya Rais - Ambaye Ni Dk Bashiru Ally Kakurwa". Kwa scenario hii, hakuna shaka Dk. Bashiru Ally ndio aliompangia ziara Makamo Wa Rais Samia Suluhu kumpeleka tanga kwa siku 7.
Swali,
1) Unampangia vipi Makamo Wa Rais ziara ya kazi ya kusafiri kwa muda wa Siku 7, wakati ukijua kwamba Rais ana hali isioridhisha na muda wowote lolote linaweza kumtokea?
2) Kwamba muda wowote huyo Makamo Wa Rais unaempeleka ziara ya Siku 7, anaweza kutakiwa kutangaza kifo cha Rais na kushika dola ya uongozi wa nchi?
3) Kwanini Makamo Wa Rais asingefutiwa ziara hizo, kuwekwa sehemu salama na kuongezewa ulinzi wa hali ya juu kwa lolote likitokea kwa Rais anaeumwa?
4) Makamo Wa Rais kupelekwa Tanga kufanya ziara ya Siku 7, mkoa wa tanga ambao ni mdogo na angeweza kuumaliza ziara zake kwa siku moja au mbili tu tena kwa kutumia hata boda boda. Siku 7 zote hizo za nini? Kipi au miradi gani ambayo ipo tanga ingemchukua siku 7 kumaliza kuzifanyia ziara hizo???. Haiingii akilini kabisa.
Jambo la pili,
Lack Of Proffessionalism, hakukua na haja yoyote ya yeye CDF kutangaza mbele ya umma na dunia kwamba kuna siri amepewa yeye na Rais Magufuli, angekaa kimya na kufanya appointment ya kwenda kuonana nae private katika Ofisi Ya Rais Ikulu.
Kitendo cha yeye kutangaza mbele ya umma kwamba amepewa siri na Rais Magufuli ni hatari hata kwake yeye CDF dhidi ya maadui wa nje na ndani ya Tanzania. Pia ni kuzua taharuki na sintofahamu isiokua na ulazima wowote kwa raia na wageni waliohudhuria mazishi na hata kwa wale walioshuhudia mazishi katika vyombo vya habari.
"LABDA PENGINE" CDF Mabeyo nimepokea speech yake ndivyo-sivyo kwenye swala la lack of proffessionalism, na pengine ujumbe aliotaka kuufikisha kwa viongozi wa umma (Makatibu na Mawaziri) ni kuonesha hasira zake kwao waliotaka kuforce na kueneza propaganda ili Mama Samia asiapishwe kuwa Rais na kuchelewesha kutangaza msiba wa Rais Magufuli. Hasira alizielekeza kwa wale waliotaka Katiba ivunjwe na mapinduzi yafanyike sambamba na kujichotea mabillioni ya pesa hazina kabla ya kutangazwa kifo cha Rais.
Ila kitendo cha yeye CDF kutamka kwamba JESHI LINAMUUNGA MKONO NA LIPO NYUMA YAKE RAIS ni jambo la msingi sana kwa taifa, tetesi za kwamba jeshi lilitaka kufanya mapinduzi au jeshi lipo njia panda juu ya uongozi wa Rais Samia umetokomezwa na kufutwa kabisa. Na amethibitisha jeshi letu lipo imara na "HALIJA YUMBISHWA NA WASAKA MADARAKA KWA NGUVU (WAZEE WA PROPAGANDA)", pia ni ONYO KWA YOYOTE ATAKAETAKA KUFANYA UJINGA UJINGA ili kumkwamisha Rais aliepo kikatiba.
UJUMBE KWA RAIS SAMIA SUKUHU HASSAN - CDF Mabeyo ni tunu kwa taifa, na ni zawadi kwa utawala wako mama, shirikiana nae mguu kwa mguu kuisafisha serikali na viongozi wa umma wote waliotaka kucheza michezo michafu tokea kipindi Rais Magufuli, anaumwa na mpaka alipofariki.
Hata kama kuna wana CCM wenye vyeo vya juu wamehusika kumwaga sumu ilikufanya mapinduzi washughulikie mapema (Nina Amini kuna Mawaziri/Naibu Waziri/Makatibu Wakuu wamefurahishwa sana na kifo cha Rais Magufuli kufariki, wakiamini aliekuwa anawabana sasa hayupo - VUNJA BARAZA LOTE LA MAWAZIRI).
Wangesababisha machafuko makubwa sana kama wangefanikiwa ushenzi waliotaka kuufanya - Tumesikia, wapo waliojichotea Mabillioni kule hazina kwa kigezo cha kununua vifaa vya kumtibu Rais Magufuli. Wengine hela zile baada ya kuchukua wamegawa kwa wajumbe kumpitisha mtu wao kuwa Makamo Wa Rais. Pita nao woteeeeee!!! Raia na Jeshi lipo nyuma yako Mama!!!
Daah mkuu umemaliza kila kitu hii ndio ilitakiwa iwe thread.Nime NOTE mambo mawili makubwa kutokana na speech aliotoa CDF Mabeyo jana.

Indeed!He was affirming allegiance to the new head of state!
Hata Rais angekuwa lissu lzm CDF angekuwa ni Mabeyo tu ndugu jeshi linautaratibu wakeInategemea; CDF Mabeyo alikuwa chaguo la JPM ndio maana waliokuwa juu yake wote walipanguliwa kwa kuondolewa ili aweze 'kumfikia mabeyo'
Rais Samia nae anaweza kuwa na Chaguo lake hivyo akapangua safu yote ya JPM ili amfikie anaemtaka na hakuna wa kumzuia.
It is normal as the matter of assurance. It depends on how one looks at it. Did she want the CDF to say that they are not going not going to obey her or what? Huyu anatafuta kiki kwa kuleta ujinsia usio na msingi. Rest assured that things will go as planned. This is Jeshi la Wananachi wa Tanzania dada.
Mwanaharakati Maria Sarungi anaandika
Very unusual statement! Goes without saying that the sitting President is the Commander in Chief, yet Chief of Defence Forces goes out of his way to emphasize that the army will obey President @samia_suluhu_hassan
Kuna haja gani kusisitiza maana sisi wananchi tunajua vyema kuwa Amiri Jeshi Mkuu wetu ni Rais! Huu ujumbe siyo wetu ila kile kikundi alichosema Mama wanauliza “Huyu mama ataweza kuwa Rais” na si ajabu waliongea mengine huko ndani! Ni hivi: [emoji1428] Mh Rais Samia Suluhu Hassan - get used to it!
Asante CDF [emoji1421]
Clearly there must be a lot going on behind the scenes!
Mkuu umenifanya niunge dot.Nime NOTE mambo mawili makubwa kutokana na speech aliotoa CDF Mabeyo jana.
Kwanza, kitendo cha kutamka kwamba Jeshi kuweka nadharia na tamko la kumtii Rais Samia kama jinsi katiba inavyotaka. Imeashiria kuna watu nyuma ya pazia walianza kushawishi na kusambaza propaganda chini kwa chini kwa jeshi na vyombo vingine kukataa kumtii na kumtambua Rais Samia. Kifupi, kuna struggle of power ilitaka kutokea mara baada ya Rais Magufuli kuugua sana na baada ya kufariki, kupelekea CDF Mabeyo kuingilia kati na kugoma kwenda kinyume na katiba kwa vishawawishi wa waliotaka kufanya mapinduzi.
REF Pia: Tarehe ambazo Rais Magufuli alivyougua sana na ndio usiku wake akafariki, Makamo Wa Rais Samia alipangiwa ziara ya kwenda Tanga ya Siku 7, na alisisitiza sana kwa msisitizo wa juu kabisa kutuomba raia tumuombee dua kwa mungu yeye na msafara wake uende salama na urudi salama alipokua Tanga akihutubia, alionekana ni mtu mwenye hofu na mashaka juu ya usalama wa msafara wake (Rudia kuangalia video zile).
Ziara za viongozi huwa zinapangwa kutoka kwa "Katibu Mkuu Kiongozi Ofisi Ya Rais - Ambaye Ni Dk Bashiru Ally Kakurwa". Kwa scenario hii, hakuna shaka Dk. Bashiru Ally ndio aliompangia ziara Makamo Wa Rais Samia Suluhu kumpeleka tanga kwa siku 7.
Swali,
1) Unampangia vipi Makamo Wa Rais ziara ya kazi ya kusafiri kwa muda wa Siku 7, wakati ukijua kwamba Rais ana hali isioridhisha na muda wowote lolote linaweza kumtokea?
2) Kwamba muda wowote huyo Makamo Wa Rais unaempeleka ziara ya Siku 7, anaweza kutakiwa kutangaza kifo cha Rais na kushika dola ya uongozi wa nchi?
3) Kwanini Makamo Wa Rais asingefutiwa ziara hizo, kuwekwa sehemu salama na kuongezewa ulinzi wa hali ya juu kwa lolote likitokea kwa Rais anaeumwa?
4) Makamo Wa Rais kupelekwa Tanga kufanya ziara ya Siku 7, mkoa wa tanga ambao ni mdogo na angeweza kuumaliza ziara zake kwa siku moja au mbili tu tena kwa kutumia hata boda boda. Siku 7 zote hizo za nini? Kipi au miradi gani ambayo ipo tanga ingemchukua siku 7 kumaliza kuzifanyia ziara hizo???. Haiingii akilini kabisa.
Jambo la pili,
Lack Of Proffessionalism, hakukua na haja yoyote ya yeye CDF kutangaza mbele ya umma na dunia kwamba kuna siri amepewa yeye na Rais Magufuli, angekaa kimya na kufanya appointment ya kwenda kuonana nae private katika Ofisi Ya Rais Ikulu.
Kitendo cha yeye kutangaza mbele ya umma kwamba amepewa siri na Rais Magufuli ni hatari hata kwake yeye CDF dhidi ya maadui wa nje na ndani ya Tanzania. Pia ni kuzua taharuki na sintofahamu isiokua na ulazima wowote kwa raia na wageni waliohudhuria mazishi na hata kwa wale walioshuhudia mazishi katika vyombo vya habari.
"LABDA PENGINE" CDF Mabeyo nimepokea speech yake ndivyo-sivyo kwenye swala la lack of proffessionalism, na pengine ujumbe aliotaka kuufikisha kwa viongozi wa umma (Makatibu na Mawaziri) ni kuonesha hasira zake kwao waliotaka kuforce na kueneza propaganda ili Mama Samia asiapishwe kuwa Rais na kuchelewesha kutangaza msiba wa Rais Magufuli. Hasira alizielekeza kwa wale waliotaka Katiba ivunjwe na mapinduzi yafanyike sambamba na kujichotea mabillioni ya pesa hazina kabla ya kutangazwa kifo cha Rais.
Ila kitendo cha yeye CDF kutamka kwamba JESHI LINAMUUNGA MKONO NA LIPO NYUMA YAKE RAIS ni jambo la msingi sana kwa taifa, tetesi za kwamba jeshi lilitaka kufanya mapinduzi au jeshi lipo njia panda juu ya uongozi wa Rais Samia umetokomezwa na kufutwa kabisa. Na amethibitisha jeshi letu lipo imara na "HALIJA YUMBISHWA NA WASAKA MADARAKA KWA NGUVU (WAZEE WA PROPAGANDA)", pia ni ONYO KWA YOYOTE ATAKAETAKA KUFANYA UJINGA UJINGA ili kumkwamisha Rais aliepo kikatiba.
UJUMBE KWA RAIS SAMIA SUKUHU HASSAN - CDF Mabeyo ni tunu kwa taifa, na ni zawadi kwa utawala wako mama, shirikiana nae mguu kwa mguu kuisafisha serikali na viongozi wa umma wote waliotaka kucheza michezo michafu tokea kipindi Rais Magufuli, anaumwa na mpaka alipofariki.
Hata kama kuna wana CCM wenye vyeo vya juu wamehusika kumwaga sumu ilikufanya mapinduzi washughulikie mapema (Nina Amini kuna Mawaziri/Naibu Waziri/Makatibu Wakuu wamefurahishwa sana na kifo cha Rais Magufuli kufariki, wakiamini aliekuwa anawabana sasa hayupo - VUNJA BARAZA LOTE LA MAWAZIRI).
Wangesababisha machafuko makubwa sana kama wangefanikiwa ushenzi waliotaka kuufanya - Tumesikia, wapo waliojichotea Mabillioni kule hazina kwa kigezo cha kununua vifaa vya kumtibu Rais Magufuli. Wengine hela zile baada ya kuchukua wamegawa kwa wajumbe kumpitisha mtu wao kuwa Makamo Wa Rais. Pita nao woteeeeee!!! Raia na Jeshi lipo nyuma yako Mama!!!
Mwenzako ndiyo twiiti za namna hii ndiyo zanamuweka mjini.yeye pamoja yule shangazi mwenzie
Mwanaharakati Maria Sarungi anaandika
Very unusual statement! Goes without saying that the sitting President is the Commander in Chief, yet Chief of Defence Forces goes out of his way to emphasize that the army will obey President @samia_suluhu_hassan
Kuna haja gani kusisitiza maana sisi wananchi tunajua vyema kuwa Amiri Jeshi Mkuu wetu ni Rais! Huu ujumbe siyo wetu ila kile kikundi alichosema Mama wanauliza “Huyu mama ataweza kuwa Rais” na si ajabu waliongea mengine huko ndani! Ni hivi: [emoji1428] Mh Rais Samia Suluhu Hassan - get used to it!
Asante CDF [emoji1421]
Clearly there must be a lot going on behind the scenes!
Na
Mkuu umenifanya niunge dot.
Je una ataarifa kwamba katibu mkuu mpya ikulu alikaa hai tebo wakati wa kile kikao cha chama cha hivi karibuni.Ilibidi mzee wa msoga amfukuze,kwa kuanza kuuliza amekaa hai tebo kama nani,ndiyo kikao kikaendelea baada ya kutolewa pembeni.kulikuwa na kujisahau hiv.kama bado ni katibu mkuu wa kijani
Haya mkuu,tutakuletea na clip ndiyo uaminiHii kahawa ya Kigogo unaiamini? [emoji3][emoji3]