Maria Sarungi: Hili la ahadi ya JWTZ kumtii Samia Suluhu sio la kawaida

Heshima na Utii kwa Rais wa JMT na amir jeshi Himaa Himaaaaa TANZANIAA kwenye magwaride yao kama umewahi kuhudhuria
Hii ni amri
 
Ni kweli ulilosema jakaya ni nyoka,ana michezo ya hatari sana wanaomfahamu wanalijua vizuri,mama anatakiwa awe smart sana... Jamaa ni nyokaaa.
 
Natamani nianze kampeni ya kumwondoa kwenye system hyu mnyarwanda,yaani nimeunga dot hyu bashiru hafai kwa ustawi wa serikali yetu,unampangia samia ziara ya siku saba ikiwa raisi yupo hoi kitandani?mlitaka kuipindua katiba?na vipi majaliwa kuahirisha ziara afu makamu akapangiwa ziara yaani basi tu
 
Well said!
 
Umenikuna sana kiongozi, nimependa intellect yako, wewe ni mtu uonaye in 3D
 
Una point ya msingi, nilikua najiuliza mbona yule mjeda yuko karibu sana na rais na sio kawaida kuwa na adc na body guard wa rais na mjeda mwingine...
Ok

mjeda gani nanyinyi kulikuwa na adc wa mwinyi pale alikuwa anaonekana muda wote msichanganye mambo.
 
Ni kweli ulilosema jakaya ni nyoka,ana michezo ya hatari sana wanaomfahamu wanalijua vizuri,mama anatakiwa awe smart sana... Jamaa ni nyokaaa.

Unyoka wake aliudhihilisha pale alipoongopa juu ya marehemu Magufuli wakati wa msiba kuwa Magufuli alikuwa chaguo lake mwaka 2015!! Samia inawezekana hamjui lakini vyombo vya ulinzi na usalama hawana budi kumlinda kwa hili!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…