Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mi sizingukagi, kwangu huyu ni katili zaidi plus hana chembe chembe hata ya uzalendo. Waje waniteke.

Kumtetea JPM inabidi ujizime DATA.

Kitendo cha kumuua ben na kumpiga risasi Lissu ni zaidi ya UNYAMA.

"Tulikuwa tunatrepu simu zake ,tukaona anawasiliana na mwanyika ,that's gavamenti ,hauwezi kuwa msaliti ukaendelea kusavaivu" - JIWE 2017 ,Sept 7
 
Hao watekaji watakuwa wazembe sana!
 
Ndio Taarifa Kuu Kwenye taarifa ya Habari Citizen TV

Kenya Human Rights Center imefanya Kazi Kubwa ikishirikiana na Chama Cha Wanasheria wa Kenya katika kumtafuta

Rais wa Law Society ya Kenya amemuhakikishia Mwabukusi Hali ni salama Kwa Maria na Kesho ataongea

Source Citizen TV
 
Kenyan Security Forces sio za mchezo mchezo.

Wanapambana na magaidi live live hawawezi kushindwa hilo
 
Nyumbu mna hasiraaaa. Jifarijini na hiyo stori iliyotungwa kitoto ya kutekwa kwa huyo mtu wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…