Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Pre GE2025 Maria Sarungi kapatikana na karudi nyumbani kwake, ataongea kuhusu suala hilo Januari 13, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yeah; JPM alisingiziwa mengi sana. Yule jamaa kaandika habari za "kifo" cha Ben Saanane; hivi tofauti ya kile kumuhusu Ben na dogo wa ku bet bwana Sativa ni nini? Tukio la Sativa limetokea wakati JPM yupo zake mbele za haki
Dhambi haitetewi,. Yeyote aliyemwaga damu, atalaaniwa na kizazi chake kitapokea hatia ya kumbukumbu ya damu isiyo na hatia.
 
Wakuu,

Kupitia ukurasa wake wa X, Fatma Karume ameweka post ya kuwashukuru wote waliyohakikisha Sarungi anakuwa salama, na kwamba ameambiwa Sarungi amerejea nyumbani kwake.

View attachment 3199978yu
Maria kakosoa utawala wa magu na akawa salama!
Kamkosoa Samia Kawa salama!

Kajaribu kukosoa uenyekiti wa Mangi wamepita nae!
Uenyekiti wa CHADEMA una Nini? Kwanini kila anayejaribu kuchallenge anashughulikiwa namna hii?
Kwanini kila anayegombea uenyekiti wa Mbowe lazima aumizwe?
 
Ishu ya Sativa imefikia wap 😂
Naskia JPM anahusika pia 😂
Mbaya zaid Sarungi nae ameponea chupuchupu kutekwa na JPM 😂
Una akili ya bangi au ulizaa na JPM, matendo ya serikali iliyopo madarakani yanachukuliwa kwa uzito wake, uovu unaofanywa na hii serikali haumsafishi muuaji JPM.
Wewe mwendawazimu umesikia?
 
Hoja kuchukua nchi au hoja zenu za kipumbavu? Piganieni tume huru ya uchaguzi na katiba mpya msiibe kura kama uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita, msiandikishe watoto na wafu halafu uje na hoja zako.

Kabla ya hapo utakuwa unaongoza kwa hoja za kipumbavu
Duuh wanaandikisha watoto na wafu?😀😀
 
Una akili ya bangi au ulizaa na JPM, matendo ya serikali iliyopo madarakani yanachukuliwa kwa uzito wake, uovu unaofanywa na hii serikali haumsafishi muuaji JPM.
Wewe mwendawazimu umesikia?
Mimba uliyopewa na JPM hutojifungua, utaishi nayo ht miaka 1000 😂
 
Nashangaa wanaomtetea JPM ,JIWE alifanya ufirauni mwingi.....inasikitisha mtu kuchallenge elimu then unamtoa roho ,mbona aliwaita watoto wa watu ni VILAZA?
Akili za kushikiwa hizi, unapenda hadi unakataa kweli.
 
Kizazi chake kisihusishwe kwenye madhambi ya baba/mama. Imeandikwa, "mwana hatoridhi dhambi za babaye wala baba hatoridhi dhambi za mwanae, kila roho itendayo dhambi ndio itakayo KUFA" Tuishi humo
 
Huyu manzi kukosoa kote kule, kumbe yupo Kenya tuu hapo na hana ulinzi wowote! what a risk!

Huwa nafikiriaga manzi yupo mbele huyu! Achomoke hapo wakora watamuua.
 
Back
Top Bottom