PostGE2025 Maria Sarungi na Mange Kimambi aisee wanateseka mno kwanini wamefeli?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
ICC Jina au ICC makaratasi?

Ahaaaa mimi mzeee mboo nene sana urefu wa kati sijilizi , mbwa wezi mlitukera sana na mlipakwa pakwa poda mkajiona vidumeeeeeeeee majizi makubwa, hiyo fursa hamna tena ,ni shaba za kichwa tu mdomo wazi kageuke mbolea shenzi kaziba , mwambie hata mama yako leo atoke apime kina cha maji aone?
Acha ushabiki kuishabikia vifo vya Watanganyika masikini
Wameuliwa watu majumbani wengine watoto, wazee, wanawake na vijana.
Familia zinalia
Kuna yatima, wajane,
Acha ushabiki dogo
Haya maisha, hii ni mitandao tu
Huwezi jua, mtu aliyefiwa akiona andiko lako anajisikiaje?
Vaa viatu vyake
Acha ushabiki, kuwa na kiasi
Karma is real
 
Nasikiliza hapa Maria space naona kama anajinyea na kujiharishia kwa hasira jamani , leo anaongea kwa msisitizo na mishipa imemtoka ya shingo kama vile anatumia dawa zileeeeeeeee

2. Mange kimambi naona kuanzia kesho atakuwa kapungua kilo 10 , haaamini kilichotokea

3. Kweli nimefurahi sana kuona nchi yangu ipo salama salmin

4 Kuna vikima wachache walitaka kujikusanya hapa Uyole walitolitewa kinyesi kwa kurushwa kichura chura kwa lisaa naona wamekwama na kuishiwa

5 Kuna watu wanasambaza uzushi balaaa kusambaza chuki tugombane wamekwama ,sasa tuijenge nchi yetu nzuri na tajiri vibaraka wote poleni sana

6. Furaha sana kwa sisi watafutaji binafsi, tumeshangilia sana, ila nawaone huruma wale ambao biashara zao ndogo wanakula per day wote wanalia njaaa, wa kulaumiwa Maria, Mange na Sativa ( namsamehe hata ningekuwa mimi ningekuwa na hasira na kinyongo alionewa) ila panya wengine akina mwaipaja poleni sana leleweni mpka mchoke huko na boss wenu analala chini kwenye zenge bichiiii

7. Fundisho tarehe 29 october mlilelegezewa mkatumia nafasi vibaya sasa oneni mkono ukikaza maisha yanavyokuwa , sasa hivi ni shaba tu na wasaliti kwenye vyombo hawatakuwa na makende kamwe
Utter non sense.
 
Hili suala sio la Maria au mange CCM ndio mnakwama hapo. Solve the problem achana na watu! Jiulize wanayoyasema kweli yapo? Je Yana athari Kwa taifa? Sio kuanzia kudeal na watu halafu matatizo ya watu mnayaweka pending. Siku 40 Sasa Hata tatizo Moja hamjakubali Kwamba lipo achilia mbali kusolve. Nawaapia Hata mjinga lazima aone hutoboi mbele we will stuck here Kama taifa Kwa muda mrefu, let's see
 
Ndugu nakuelewa sana tafuta post zangu, huko nyuma, sikuwahi kushangilia mkono wa chuma kama tarehe 29 nina sabau nimeshaandika sana labda nisaidie kutafuta post zangu, wale waliopigwa bahati mbaya ni bahati mbaya na ni matokeo ya madhara ya vita ,Yale hayakuwa maandamano ilikukuwa ujambazi mkubwa uhaini tulioumia ni sisi watu binafsi, hivi Mwendokasi nani anapanda maisha ya kati? mimi daldala nilishaacha toka 2000 , Kikwete, Samia,mwigulu, majaliwa, pinda, sumaye , hata DC mstaafu anapanda mwendokasi? kwa nini wale mbwa waliharibu? mali za watu binafsi ziliwahusu nini? mimi nimekopa benki nyumba dhamana unanichomea? wengine eti kwa nini unashabikia CCM ? kwa nini nishabikie chadema? wametutapeli mara ngapi? kuanzia tonetone, kumuita lowassa mwizi kisha mgombea wao, chadema elfu 10 plus waliunga juhudi mpaka dr slaa wao katibu mkuu wao, hlafu leo uniambie huko kuna lolote watatuambia? LABDA NIAMBIWE KUPIGA PUNYETO KAMA LISU NDO MPANGO, LEMA, lisu wenyewe wamevuta kwa Samia juzi kawaanika lakini tulikuwa tunajua, heche kavuta M 200 , gari na mgodi wa dhahabu halafu anawachezesha usenge singeli, Mbowe mzee wa kukunja ngumi yupo wapi ?jamani nyie mbwa koko ebu fungueni macho basiiiiiiii , mnanikera mpaka basi , hamjui siasa wala nchi inavyoendeshwa mnashabikia ujinga wa kichwa cha konokono
 
kuna njia sahihi sio ujambazi
 
Nasikiliza hapa Maria space naona kama anajinyea na kujiharishia kwa hasira jamani , leo anaongea kwa msisitizo na mishipa imemtoka ya shingo kama vile anatumia dawa zileeeeeeeee

2. Mange kimambi naona kuanzia kesho atakuwa kapungua kilo 10 , haaamini kilichotokea

3. Kweli nimefurahi sana kuona nchi yangu ipo salama salmin

4 Kuna vikima wachache walitaka kujikusanya hapa Uyole walitolitewa kinyesi kwa kurushwa kichura chura kwa lisaa naona wamekwama na kuishiwa

5 Kuna watu wanasambaza uzushi balaaa kusambaza chuki tugombane wamekwama ,sasa tuijenge nchi yetu nzuri na tajiri vibaraka wote poleni sana

6. Furaha sana kwa sisi watafutaji binafsi, tumeshangilia sana, ila nawaone huruma wale ambao biashara zao ndogo wanakula per day wote wanalia njaaa, wa kulaumiwa Maria, Mange na Sativa ( namsamehe hata ningekuwa mimi ningekuwa na hasira na kinyongo alionewa) ila panya wengine akina mwaipaja poleni sana leleweni mpka mchoke huko na boss wenu analala chini kwenye zenge bichiiii

7. Fundisho tarehe 29 october mlilelegezewa mkatumia nafasi vibaya sasa oneni mkono ukikaza maisha yanavyokuwa , sasa hivi ni shaba tu na wasaliti kwenye vyombo hawatakuwa na makende kamwe
Tatizo lenu kila siku mnatafuta mchawi alikuwa Chadema sasa mnatafuta hawa madada ambao hawapo TZ. Tatizo kubwa ni CCM na Samia na mtazuia lakini Mange atakuwepo, Sarungi atakuwepo na wengine wengi wanakuja ni lazima mtatue tatizo kwenye shina!
 
Nasikiliza hapa Maria space naona kama anajinyea na kujiharishia kwa hasira jamani , leo anaongea kwa msisitizo na mishipa imemtoka ya shingo kama vile anatumia dawa zileeeeeeeee

2. Mange kimambi naona kuanzia kesho atakuwa kapungua kilo 10 , haaamini kilichotokea

3. Kweli nimefurahi sana kuona nchi yangu ipo salama salmin

4 Kuna vikima wachache walitaka kujikusanya hapa Uyole walitolitewa kinyesi kwa kurushwa kichura chura kwa lisaa naona wamekwama na kuishiwa

5 Kuna watu wanasambaza uzushi balaaa kusambaza chuki tugombane wamekwama ,sasa tuijenge nchi yetu nzuri na tajiri vibaraka wote poleni sana

6. Furaha sana kwa sisi watafutaji binafsi, tumeshangilia sana, ila nawaone huruma wale ambao biashara zao ndogo wanakula per day wote wanalia njaaa, wa kulaumiwa Maria, Mange na Sativa ( namsamehe hata ningekuwa mimi ningekuwa na hasira na kinyongo alionewa) ila panya wengine akina mwaipaja poleni sana leleweni mpka mchoke huko na boss wenu analala chini kwenye zenge bichiiii

7. Fundisho tarehe 29 october mlilelegezewa mkatumia nafasi vibaya sasa oneni mkono ukikaza maisha yanavyokuwa , sasa hivi ni shaba tu na wasaliti kwenye vyombo hawatakuwa na makende kamwe
Yani wamama wawili wameikimbiza serikali ya shithole miezi kadhaa mchakamchaka unaona wamefeli, utakuwa Mkwe wewe mshauri wa mama mzee, mnamdanganya sana! So sasa anakubalika? Baada ya kuchoma hazina na kuhamisha zingine kwa wajomba mtaendelea kutawala kwa mitutu ya mabunduki hadi 2030?
 
mimi mzeee mboo ungemleta dada yako, mke wako au mama yako hata maziwa yashakuwa ndala aone utamu na heshima ya dola ? angerudi bleed imeanza kote kote kichwani na chini shenzi kabisa, mnakaa nje mnawachochea watz wagombane waharibu nchi yao mavi kunuka
Tuliaa shogaa tu ww letaehuo mnduku wako niumwafele
 
Yani wamama wawili wameikimbiza serikali ya shithole miezi kadhaa mchakamchaka unaona wamefeli, utakuwa Mkwe wewe mshauri wa mama mzee, mnamdanganya sana! So sasa anakubalika? Baada ya kuchoma hazina na kuhamisha zingine kwa wajomba mtaendelea kutawala kwa mitutu ya mabunduki hadi 2030?
hizo story mange kakulisha na unaamini?hivi nci nchi ni kifamilia cha watu 4?
 
Prof. Anna Tibaijuka

Hii “teoria ya vita vya kiuchumi” si chochote zaidi ya blanketi la propaganda lililotupwa kufunika janga la kisiasa la ndani. Ni kisingizio tu—hakuna zaidi.

Tuwe wa wazi:

Hakuna nguvu ya kigeni iliyolazimisha Tanzania kuua raia wake. Hakuna mkataba wa uranium uliyekanyaga kitufe cha kuua GenZ. Hakuna mazungumzo ya LNG yaliyotoa amri ya kuzimwa kwa vyombo vya habari.

Hii haikuwa Rosatom.
Haikuwa Shell.
Haikuwa Washington.

Hii ilikuwa uongozi wa Tanzania ukipatwa na kigugumizi cha hofu, ukachagua kutumia nguvu za dola dhidi ya wananchi wasio na silaha.

Huu ukwapuaji wa hadithi ni juhudi ya uvivu ya:

kukimbia uwajibikaji,

kulaumu nguvu za kubuniwa,

kupaka manukato ya nadharia za njama juu ya kushindwa.

Tanzania si muhimu kiasi hicho hadi ianze “vita vya kisaikolojia” vya miaka 8 za Magharibi.
Kama Magharibi wangetaka kuidestabilisha Tanzania, wasingekaa kungoja TikTok; wangeanza na vikwazo, benki, diplomasia. Hakuna hata kimoja kilichotokea.

Ukweli ni rahisi na mchungu zaidi:

Mgogoro ulitoka ndani—hofu, ubabe, uzembe, na mashine ya dola iliyoporomoka.

Acheni kuficha nyuma ya hadithi za uranium. Acheni kuwadhalilisha wahanga kwa kuwalaumu “uchechefu wa mataifa makubwa.”

Uwanja wa vita uko hapa hapa kati ya
utawala unaoogopa wananchi wake
na kizazi cha vijana kilichokataa kuongozwa kwa hofu.

Mwisho.

Kilichotokea tarehe 29 Okt–3 Nov 2025 hakina uhusiano wowote na masoko ya uranium duniani, mikataba ya Rosatom, mazungumzo ya LNG, au utaifa wa rasilimali.

Ilikuwa ni hofu ya kisiasa ya ndani, maamuzi mabovu ya kijeshi, na matumizi ya nguvu za dola—basi.

Huwezi kuwamiminia risasi watoto Mbagala au Kisesa kwa sababu Shell ilikasirika kupoteza nafasi ya mazungumzo.
Tusiendelee kudhalilisha akili za Watanzania.

Tanzania?
Hata haipo kwenye orodha ya maeneo 50 yenye mvutano mkubwa duniani.

Hata kwa uranium: Niger, Kazakhstan, Canada, Australia → wanazidi Tanzania kwa uzalishaji na hifadhi kwa mbali.
Hakuna mtu anayeanzisha “vita mseto” kwa ajili ya kiwanda cha majaribio.

Kama mataifa makubwa yangetaka kuivuruga Tanzania, wasingetumia vijana wa TikTok.

Mataifa makubwa hayatumiishi mashambulizi ya kuvizia kwa kutegemea GenZ wa bahati nasibu.

Wanatumia:

vikwazo,

shinikizo la kidiplomasia,

makampuni makubwa,

vizuizi vya kifedha kwa siri.

Hakuna hata moja lililotokea Tanzania.

Kulaumu ushawishi wa kigeni ni njia rahisi ya kukwepa uwajibikaji.

Walipinga kwa sababu:

uchaguzi wa 2025 haukufanyika,

watu waliuawa,

watoto walipigwa risasi,

serikali ilidanganya,

viongozi walinyamaza,

vyombo vya habari vilinyamazishwa,

miili ilifichwa,

uwajibikaji ulitoweka.

Hadithi hii inanuka mbinu za propaganda za kiimla.

Ina alama zote:

✔ Kufanya mgogoro uonekane mgumu mno
→ “Ni wataalam tu wanaelewa, ninyi wanyamaze.”

✔ Kuboreshwa adui wa nje
→ “Si viongozi wetu waliokosea—ni Magharibi.”

✔ Kukuza thamani ya nchi kupita kiasi
→ “Akaunti ya uranium = vita ya dunia.”

✔ Kutumia uzalendo kama silaha
→ “Ukikosoa, unasaidia maadui.”

Hii ni hadaa ya kawaida ya tawala zinazoporomoka ili kuwachanganya na kuwanyamazisha raia.

Ukweli ni rahisi na unauma zaidi:

Tanzania haiko chini ya “shambulio la kiuchumi.”

Tanzania iko chini ya:

utawala wa kiimla,

kuanguka kwa taasisi,

kukalia madaraka kinyume cha Katiba,

ubabe wa vyombo vya usalama,

ukosefu wa uwajibikaji wa viongozi,

kutengwa kwa vijana kwa kiwango kikubwa.

Hadithi ya “vita ya uchumi” ni kito cha kung’aa cha kuwazuia watu kuuliza maswali ya msingi:

Kwa nini Watanzania wasiokuwa na hatia waliuawa?
Nani alitoa amri?
Kwanini vyombo vya habari vilizimwa?
Kwanini uchaguzi haukufanyika?
Kwanini utekaji unaendelea?
Kwanini kukosoa kumegeuzwa uhalifu?

Maswali haya ndiyo yanayowaogopesha walio madarakani—
ndiyo maana wanabuni hadithi za uranium ili kujaza nafasi.
 
IMG_0936.jpeg
 
amezeeeka uwezo wa kufikiri umeisha alee wajukuuu vipi barbra johnson school inaendeleaje? kwa nini inadaiwa milioni 790 na crdb mwaka wa tatu halipi?

6
 
Ndugu nakuelewa sana tafuta post zangu, huko nyuma, sikuwahi kushangilia mkono wa chuma kama tarehe 29 nina sabau nimeshaandika sana labda nisaidie kutafuta post zangu, wale waliopigwa bahati mbaya ni bahati mbaya na ni matokeo ya madhara ya vita ,Yale hayakuwa maandamano ilikukuwa ujambazi mkubwa uhaini tulioumia ni sisi watu binafsi, hivi Mwendokasi nani anapanda maisha ya kati? mimi daldala nilishaacha toka 2000 , Kikwete, Samia,mwigulu, majaliwa, pinda, sumaye , hata DC mstaafu anapanda mwendokasi? kwa nini wale mbwa waliharibu? mali za watu binafsi ziliwahusu nini? mimi nimekopa benki nyumba dhamana unanichomea? wengine eti kwa nini unashabikia CCM ? kwa nini nishabikie chadema? wametutapeli mara ngapi? kuanzia tonetone, kumuita lowassa mwizi kisha mgombea wao, chadema elfu 10 plus waliunga juhudi mpaka dr slaa wao katibu mkuu wao, hlafu leo uniambie huko kuna lolote watatuambia? LABDA NIAMBIWE KUPIGA PUNYETO KAMA LISU NDO MPANGO, LEMA, lisu wenyewe wamevuta kwa Samia juzi kawaanika lakini tulikuwa tunajua, heche kavuta M 200 , gari na mgodi wa dhahabu halafu anawachezesha usenge singeli, Mbowe mzee wa kukunja ngumi yupo wapi ?jamani nyie mbwa koko ebu fungueni macho basiiiiiiii , mnanikera mpaka basi , hamjui siasa wala nchi inavyoendeshwa mnashabikia ujinga wa kichwa cha konokono
Yaani wewe unaona sawa
Samuya kuteka na kuuwa watu
Unaona sawa Samuya kufanya ulaghai katika uchaguzi
Unaona sawa ufisadi ili hali shule hazina madawati
Unaona sawa ukandamizaji wa kidemokrasia
 
ICC Jina au ICC makaratasi?

Ahaaaa mimi mzeee mboo nene sana urefu wa kati sijilizi , mbwa wezi mlitukera sana na mlipakwa pakwa poda mkajiona vidumeeeeeeeee majizi makubwa, hiyo fursa hamna tena ,ni shaba za kichwa tu mdomo wazi mfanywe mbolea shenzi kabisa , mwambie hata mama yako leo atoke apime kina cha maji aone? ata bleeed leo leo ahaaa ahaaaaaa au wewe mbona hukutoa makende unaishia kwenye keyboard?
Makende ni yatoe ya Nini wakati hayo anatakiwa ayaone mama Yako wakati tukimtengeza mdogo wako ili uache kudeka?
 
Back
Top Bottom