Swali? Mwanachama wa chadema? Kwanini anawavuruga kiasi hicho?
Maria Sarungi ni mwanaharakati wa siku nyingi hata hao wakina Mbowe wamefika hapo walipofika kwa kupiganiwa na watu kama wakina Maria Sarungi, ila wakati wa mtifuano wa Mbowe na Zito Maria Sarungi alikuwa upande wa Zito kwahiyo akawa anachukiwa na wana CDM wengi kwa sababu ya kumuunga mkono Zito ila Maria Sarungi amebaki mwana Harakati ambaye anasimamia upande anao ona kama unaonewa. Pia ni mtu anaye jua mambo mengi kwasababu mda wote anakuwa na watu waaina mballi mbali kwa kumpatia habari mbali mbali.Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.
Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.
Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.
Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?
Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?
Naomba mwenye jibu
Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
View attachment 3182891
Kumbe geroman huna akili kiasi hichi?.huyo si msimbe? hizo ndizo tabia za kisimbe🐒
Ni MwanaharakatiNimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.
Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.
Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.
Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?
Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?
Naomba mwenye jibu
Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
View attachment 3182891
Hata mamayenu ni msimbe ila amekuwa akiwadanganya nyie mazwazwa Kwa kuwaitia mzanzibar kuwa ni mme wake ndio maana hata majibu yake utasikia kifo ni kifo kisa hajauwawa mwanaye.huyo si msimbe? hizo ndizo tabia za kisimbe🐒
kifo ni kifo gentleman,Hata mamayenu ni msimbe ila amekuwa akiwadanganya nyie mazwazwa Kwa kuwaitia mzanzibar kuwa ni mme wake ndio maana hata majibu yake utasikia kifo ni kifo kisa hajauwawa mwanaye.
relax mtumishi wa mungu feki, mambo haya ni ya kwenda nayo haste haste tu 🐒Kumbe geroman huna akili kiasi hichi?.
Hata kama huchagui silaha. Jishikilie wewrelax mtumishi wa mungu feki, mambo haya ni ya kwenda nayo haste haste tu 🐒
Hiyo mama anapigania maslahi mapana ya taifa la Tanzania.Swali? Mwanachama wa chadema? Kwanini anawavuruga kiasi hicho?
Huyo alikuwa ni Team zitto,mbowe aliwatengenezea zengwe. Sasa nao wanamshiughulikia mitandaoni.........Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.
Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.
Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.
Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?
Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?
Naomba mwenye jibu
Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
View attachment 3182891
mfanyie maombi feki huyo msimbe, anaehangaika na kubabaika sana na keyboard 🐒Hata kama huchagui silaha. Jishikilie wew
Amechagua upande wa Lissu,akiamini ana fit nafasi hiyo kwa maono yake.Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.
Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.
Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.
Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?
Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?
Naomba mwenye jibu
Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
View attachment 3182891
Amechagua upande wa Lissu,akiamini ana fit nafasi hiyo kwa maono yake.
Unapost mwenyewe, unajijibu mwenyewe, basi full shangweMulelala vijana wa maria?
Issue sio lissu kutopingwa ila issue ni Mbowe kutaka uenyekiti baada ya miaka 20. Unadhani fomu angechukua Lissu, Heche, Mnyika et al kuna mtu angelalamika?Kwani kosa lao ni lipi? Kuruhusu Mbowe kugombea na kumwachia lissu bila kupingwa?
Hili swali anaweza kulijibu mwenyewe kule X na huwa yupo faster kujibu. Mpandie hewani kulekule XKwanini anatumia nguvu nyingi na mishale mingi dhidi ya mbowe kwa lissu?
Kuna watu wangalilamika tu Mbowe kaegemea upande 1Issue sio lissu kutopingwa ila issue ni Mbowe kutaka uenyekiti baada ya miaka 20. Unadhani fomu angechukua Lissu, Heche, Mnyika et al kuna mtu angelalamika?
Wamemfanya Lissu kuwa mzembe....Lissu sahv wenzie wanajitafutia pesa za kuendesha maisha ye anaishi kwa mdomo tu na michango ya watu!! Anatumia jukwaa la CHADEMA kuendesha maisha yake!!Maria Sarungi, Diaspora wanasema imetoshaaa, utawafilisi kwa michango ya kumpa Lissu, imetoshaaa
Kama hajala block!! Yule dada anajifanya mwanademokrasia lakini ni kilaza sana! Ukiandika mawazo tofauti na yake anakublock!!Hili swali anaweza kulijibu mwenyewe kule X na huwa yupo faster kujibu. Mpandie hewani kulekule X
On the same note, huenda ni mwanachama mwenye kadi ya CHADEMA na sio lazima ajinadi openly