Maria Sarungi ni mwanachama wa CHADEMA?

Maria Sarungi ni mwanachama wa CHADEMA?

Swali? Mwanachama wa chadema? Kwanini anawavuruga kiasi hicho?

Mtanzania yeyote timamu ana Maslahi na Chadema, na anakuwa mtazamo, Mimi sina chama, ila nina mtazamo na Chadema hata Ccm, sasa Maria kosa lake ni kwamba ana audience kubwa
 
Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.

Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.

Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.

Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?

Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?

Naomba mwenye jibu

Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
View attachment 3182891
Maria Sarungi ni mwanaharakati wa siku nyingi hata hao wakina Mbowe wamefika hapo walipofika kwa kupiganiwa na watu kama wakina Maria Sarungi, ila wakati wa mtifuano wa Mbowe na Zito Maria Sarungi alikuwa upande wa Zito kwahiyo akawa anachukiwa na wana CDM wengi kwa sababu ya kumuunga mkono Zito ila Maria Sarungi amebaki mwana Harakati ambaye anasimamia upande anao ona kama unaonewa. Pia ni mtu anaye jua mambo mengi kwasababu mda wote anakuwa na watu waaina mballi mbali kwa kumpatia habari mbali mbali.
 
Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.

Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.

Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.

Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?

Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?

Naomba mwenye jibu

Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
View attachment 3182891
Ni Mwanaharakati
 
Hata mamayenu ni msimbe ila amekuwa akiwadanganya nyie mazwazwa Kwa kuwaitia mzanzibar kuwa ni mme wake ndio maana hata majibu yake utasikia kifo ni kifo kisa hajauwawa mwanaye.
kifo ni kifo gentleman,

maringo ya nini wakati mwili wako na wangu viataliwa mchangani kaburini hata ufurukute namna gani?,

so,
ni muhimu kurelax na kwakweli tuzingatie hoja mahususi mezani kumuhusu huyo msimbe ambae ni undefined kwamba ni chadema au vinginevyo,

lakini kifo ni kifo tu, sote tutauonja umauti bila mbambamba yoyote 🐒
 
Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.

Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.

Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.

Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?

Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?

Naomba mwenye jibu

Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
View attachment 3182891
Huyo alikuwa ni Team zitto,mbowe aliwatengenezea zengwe. Sasa nao wanamshiughulikia mitandaoni.........
 
Nimefatilia sana ktk uchaguzi huu wa chadema.

Mtu ambaye anatumia nguvu kuhakikisha Lissu anakuwa mwenyekiti ni Maria Sarungi.

Hutu ukipitia X zake anatupa mishale kila kona na kila anaeona Kikwazo cha Lissu. Anamuona Mbowe kama pandikizi ndani ya chadema na kama anamzibia LISSU.

Swali . Jee huyu ni mwanachama wa chadema? Kama sie kwanini anatumia nguvu nyingi sana ktk swala la chadema?

Kama mwanachama kwanini asipande majukwaa ya kisiasa kumnadi Lissu?

Naomba mwenye jibu

Cc
Boni yai
Martin M
Yericko
Ntobi
Na wengine wenye kujua
View attachment 3182891
Amechagua upande wa Lissu,akiamini ana fit nafasi hiyo kwa maono yake.
 
Kwani kosa lao ni lipi? Kuruhusu Mbowe kugombea na kumwachia lissu bila kupingwa?
Issue sio lissu kutopingwa ila issue ni Mbowe kutaka uenyekiti baada ya miaka 20. Unadhani fomu angechukua Lissu, Heche, Mnyika et al kuna mtu angelalamika?
 
Kuna watu wangalilamika tu Mbowe kaegemea upande 1
 
Maria Sarungi, Diaspora wanasema imetoshaaa, utawafilisi kwa michango ya kumpa Lissu, imetoshaaa
Wamemfanya Lissu kuwa mzembe....Lissu sahv wenzie wanajitafutia pesa za kuendesha maisha ye anaishi kwa mdomo tu na michango ya watu!! Anatumia jukwaa la CHADEMA kuendesha maisha yake!!
 
Hili swali anaweza kulijibu mwenyewe kule X na huwa yupo faster kujibu. Mpandie hewani kulekule X

On the same note, huenda ni mwanachama mwenye kadi ya CHADEMA na sio lazima ajinadi openly
Kama hajala block!! Yule dada anajifanya mwanademokrasia lakini ni kilaza sana! Ukiandika mawazo tofauti na yake anakublock!!
 
Back
Top Bottom