Hakupotea bali ilikuwa ni msimamo wake halisi. Miezi ya kwanza ya Magu alikuwa mpuliza tarumbeta ya kumshangilia mpk alipogundua mtoto siyo riziki ndo akaanza kujirudi ila kwangu CCM wote ni wanafiki tu
Inawezekana Lowasa hakuwa sahihi, na hata huyu anaweza pia kuwa sio sahihi zaidiInabidi hadi mzinduke au mzinduliwe kwa kweli; hivi kweli kabisa bado mnaamini Lowassa ndio alikuwa chaguo sahihi. Mtalaumu watu wote wengine duniani isipokuwa nyinyi wenyewe. Ni muhimu kuanza kuwajibika kwa maamuzi yenu wenyewe!
Alipokuwa kwenye Bunge la katiba alijitahidi kujiweka pembeni ila msimamo wangu ni moja tu, mtu yeyote mwanachama wa CCM sifa yake namba moja ni unafiki.Ulichoandika hapa ni kweli kabisa. Naona sasa kapunguza speed ya kupiga tarumbeta ingawaje bado akili yake iko huko kwa wanafiki.
Hajitambua lakini ni mahili wa kuisifia serkali ya ccmVery Smart yani anajitambua
Mama yake mzunguMbona hafanani na philemon?
Hakupotea bali ilikuwa ni msimamo wake halisi. Miezi ya kwanza ya Magu alikuwa mpuliza tarumbeta ya kumshangilia mpk alipogundua mtoto siyo riziki ndo akaanza kujirudi ila kwangu CCM wote ni wanafiki tu
Mzee unanicheka hahhahahah. Sina imani na mtu yeyote kutoka CCM maana kila mmoja alipiga pushup utadhani uongozi unategemea misuli wakati maono, akili na ushawishi ndo zinahusikahahahaaa
Mzee unanicheka hahhahahah. Sina imani na mtu yeyote kutoka CCM maana kila mmoja alipiga pushup utadhani uongozi unategemea misuli wakati maono, akili na ushawishi ndo zinahusika
prof alizaa na mkewe mzungu,pia huyo dada mmewe ni raia wa Ethiopia.
Amesomea Communication kwa kifupi hayo mengine ni ufahamu wa kawaida kila mwenye kujituma kiakili anaweza kujua mambo mengi. Chamsingi tambua yeye ni communication specialistJamani naomba profile ya huyu dada a ana naona yuko kila engo. Profession yake na elimu yake.
Je ana mume au watoto na kama hana je nianze process???
Huyo mumewe anaishi hapa Tanzania Na anafanya shughuli gani??prof alizaa na mkewe mzungu,pia huyo dada mmewe ni raia wa Ethiopia.
Mama yake ni mzungu raia Russia.
Ni moja kati ya watu walio boha sana wakati wa Uchaguzi.
Amefanana na Baba yako?Mbona hafanani na philemon?
Maria sarungi alisisoma shule ya msingi oyster bay.O-level na A- level alisoma zanaki sec.Degree ya kwanza alisoma hungary na degree ya 2 alisoma marekani.Then akaajiriwa na gaziti la new york post.Ka sasa ni mkurugenzi wa campss solution co.ltd.Yeye ni mtoto wa mwisho wa prof.sarungi.MAMA yake ni mzungu wa hungary.Prof.sarungi amewahi kuwa mkurugenzi wa muhimbili,waziri wa afya,uchukuzi,elimu na ulinzi.Pia amewahi kuwa mkuu wa mkoa wa pwani na kilimanjaro.Vilevile amekuwa mbunge wa rorya kwa miaka 10.Maria ameolewa.