Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

Achausenge weweboya
 
Naipenda Kenya Mh Mh Ruto Rais wa Kenya naomba nipe uraia wa Kenya ,ni matumain yangu ombi langu litakubariwa , mie mtanzania naomba kuwa mkenya
 
#Free Dr.Slaa
Mwache kule alipo ndipo atapata tiba inayomsumbua miaka mingi uyu mzee alishaota kuwa anakuwa Rais sasa kichwa bado akijakaa sawa kila wakati anaoto analetewa taharifa nyeti na wana usalama sasa yeye anaziamini anatuma na clip ya taharifa aliopokea kutoka Usalama wa ndotoni!!!!! Kule alipo ata tafakuli vizuli kuwa yeye sio Rais. ni raia tu mzee aliepitia misukosuko mingi ikiwemo inayousu punye !!!!!
 
Na vile vile watu wazima kushindwa kujibu hoja,bali wanataka kuzijibu kwa mtutu.
Uoneni aibu wajinga nyinyi.

Mnaumbuka sasa.
Mkapambane na wahujumu uchumi na wezi
 
Kasalimika kwenye mdomo wa mamba
 
Huko madrasa mnafundishwa kuwa Dr.Slaa ni "Kafiri"? Mbona mnachuki nae sana?
Dhamana iko wazi sasa kwanini aendelee kuteswa Mzee Slaa na umri wote ule?!
 
Kwa heri uhuru, kwa heri ukoloni.Africa Ina shida
 
Mwandiko wako tu unakutambulisha vema kwa namna kichwani mwako kulivyojaa kamasi badala ya ubongo!
relax gentleman tuskize behind the scenes kwenye kujiteka huyo mbibi kilitokea nini 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…