Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

Wakuu,

Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake.

Bado haijaeleweka hadi sasa kama atazungumza kwa kujirekodi video kueleza nini hasa kilitokea, atatengeneza thread ya kuelezea tukio zima au atatoa tamko kupitia space.

Soma pia: Kuelekea 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Tanzania inasubiri. Kaa karibu na uzi huu kujua kitakachojiri

==========================================

"Jana nilieondoka nyumbani kwenda saluni ili kutengeneza nywele zangu. Nilipofika, wakati namaliza, niliona mwanamke aliingia ndani ya saluni haraka haraka alafu akatoka, alikuwa amevaa mask"
Mbona kimya? Maria weeeee
 
Sasa nyie mnaojaza seva hapa ni pacha wa maria au....?? Tunasubilia update nyie mnareta update za kimama mama
 
Wakuu,

Kama alivyotuahidi jana, siku ya leo Mwanaharakati nguli Afrika Mashariki, Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake.

Bado haijaeleweka hadi sasa kama atazungumza kwa kujirekodi video kueleza nini hasa kilitokea, atatengeneza thread ya kuelezea tukio zima au atatoa tamko kupitia space.

Soma pia: Kuelekea 2025 Mwanaharakati Maria Sarungi adaiwa kutekwa na watu wenye silaha Nairobi, wakiwa na Noah nyeusi

Tanzania inasubiri. Kaa karibu na uzi huu kujua kitakachojiri

==========================================

"Jana nilieondoka nyumbani kwenda saluni ili kutengeneza nywele zangu. Nilipofika, wakati namaliza, niliona mwanamke aliingia ndani ya saluni haraka haraka alafu akatoka, alikuwa amevaa mask. Sikufuatilia sana baada ya kuona hivyo"

"Mara nyingi mimi huwa nawasiliana na mume wangu nimpe updates za wap nilipo. Kwa hiyo nikamtaarifu kwamba nataka kuondoka. Nikatumia app ya Little ya kuita gari y kunirudisha. Yule dereva alifika lakini hakuweza kuingia ndani"

"Kwa hiyo nikawa naenda getini ili niweze kuingia kwenye gari na wakati dereva anajaribu kuondoa gari ili kulipeleka barabarani, kuna mwanaume mmoja mweusi"
Umeweka "Live" lakini hakuna hata link ya kuona live kweli!!??

Nini maana ya "live"!!??
 
Wale wajinga jinga na machawa watasema kajiteka au katekwa na Chadema! Yaani wenyewe ni kama wamelogwa
 
Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake.

Kwa Dakika nzima takribani 24 ndani ya studio za Nation anazungumza Kinaga ubaga au kwa 'kihaya' Straight From the horse's mouth shangazi mwanaharakati Maria Sarungi anatujuza sisi wakaazi wa dunia hii kijiji nini kilimtokea, mataifa yote yapate kufahamu :

13 January 2025
Nairobi, Kenya

Tanzanian activist Maria Sarungi recounts her abduction in Nairobi​

View: https://m.youtube.com/watch?v=tgMGuYAEZRA
Maria Sarungi, a prominent journalist and vocal critic of the Tanzanian government and President Samia Suluhu, was released on Sunday evening, several hours after she was abducted in Kilimani, Nairobi.
Source : Nation
 
Back
Top Bottom