Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

Mbona kimya? Maria weeeee
 
Sasa nyie mnaojaza seva hapa ni pacha wa maria au....?? Tunasubilia update nyie mnareta update za kimama mama
 
Umeweka "Live" lakini hakuna hata link ya kuona live kweli!!??

Nini maana ya "live"!!??
 


Wale wajinga jinga na machawa watasema kajiteka au katekwa na Chadema! Yaani wenyewe ni kama wamelogwa
 
Maria Sarungi atazungumza kinaga ubaga kuhusu namna alivyotekwa mpaka kupatikana kwake.

Kwa Dakika nzima takribani 24 ndani ya studio za Nation anazungumza Kinaga ubaga au kwa 'kihaya' Straight From the horse's mouth shangazi mwanaharakati Maria Sarungi anatujuza sisi wakaazi wa dunia hii kijiji nini kilimtokea, mataifa yote yapate kufahamu :

13 January 2025
Nairobi, Kenya

Tanzanian activist Maria Sarungi recounts her abduction in Nairobi​


View: https://m.youtube.com/watch?v=tgMGuYAEZRAMaria Sarungi, a prominent journalist and vocal critic of the Tanzanian government and President Samia Suluhu, was released on Sunday evening, several hours after she was abducted in Kilimani, Nairobi.
Source : Nation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…