Maria Sarungi: Nilitekwa nikiwa natoka saluni. Lengo lilikuwa ni kunivusha lakini hawakufanikiwa

Unafaidika na nini akinyamaza?
SELF-PROMOTION OF UNTOUCHABLENESS AND FEARLESNESS WHILE THEY ARE FULL OF FEAR AND VURNERABLE. JESUS DID NOT CRY BECAUSE HEWAS NOT A CRIMINAL
 
Walikuwa wanakuleta uwe wakala wa Lissu wala hawakuwa na nia nyingine ovu ili mkipigwa msilalamike kwamba Mwamba kachakachua kura
 
Aidha wewe ni askari usiye na uoga na damu za watu, au mhalifu mzoefu usiyeogopa kuuwa idadi yoyote ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…