Maria Sarungi: Samia, Kikwete and their offsprings ought to know we are leaving in Post CCM.

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
What Samia Suluhu, Jakaya Kikwete and their offsprings need to understand is that we are already living in Post CCM Tanzania! Whatever you think you know about manipulating internal politics of CCM will not work with the society because we are past that! So all your scheming and idiotic plans to “inherit imperial presidency” is delusional! We, the People have resolved that we want a fresh start, post CCM, with a new democratic constitution and free and fair elections! This has been decided!



Husband: President
Wife: Member of Parliament
Son/Daughter: Minister
Son in Raw: Minister.

Ujumbe murua kabisa, waache kutufokea hii nchi sio ya kifamilia wala kifalme kuwa watawarithisha watoto wao.
 
Bwana Quinine ni Maria Sarungi kaandika hiyo kweli?
 
Tatizo ninaloona ni kuwa Wazanzibari wametuchezea sana. Wao wanajiimarisha kwa kutumia raslimali za Tanganyika, wakati sisi tupo katika malumbano ya kisiasa. Ingawa suala lao kujitegemea kiumeme limepiga mwamba bali mengine kama kuwa na bandari ya kina kirefu, pesa imepatikana ambayo ni mkopo uliochukuliwa na Tanganyika. Mlipaji Tanganyika.

Naamini kama tungekuwa na akili timamu, jinsi ya kuiondoa CCM na haya madudu ni kuwa na mgombea huru.
Mimi nikiandika kuwa enzi za CCM zimepita huwezi amini hadi Maria aandike.
Pahala nilipoweka rangi nyekundu Mkuu! Hicho kiingereza ni hatari ya danger
 
Quinine Bado hali ni tete hata baada ya kubadili kutoka Raw kuwa Law
 
Maria analitendea haki jina lake, najua hauwezi kuikubali hii sifa na nafasi ninayoipendekeza kwako lkn naomba nikupe hii nafasi kama vile mama Maria alivyokuwa mama wa Kanisa basi ningependelea na wewe pia ukubali uwe mama wa Taifa letu, kwani jina lako linabeba majukumu mazito sana na wewe umeonyesha uwezo ...
 

View: https://x.com/MariaSTsehai/status/2077276592024469990?s=20
 
Kiingereza kilichotumika ni kibovu. K.m:
1. Leaving ni tofauti na living.
What Samia Suluhu, Jakaya Kikwete and their offsprings need to understand is that we are already living in Post CCM
...in a Post CCM era.
Whatever you think you know about manipulating internal politics of CCM will not work with the society because we are past that! So all your scheming and idiotic plans to “inherit imperial presidency” is delusional!
plans to inherit an imperial presidency are delusional.
We, the People have resolved that we want a fresh start, post CCM, with a new democratic constitution and free and fair elections! This has been decided!

Husband: President
Wife: Member of Parliament
Son/Daughter: Minister
Son of Law: Minister.
Son in Law: Minister
View attachment 3629490

Ujumbe murua kabisa, waache kutufokea hii nchi sio ya kifamilia wala kifalme kuwa watawarithisha watoto wao.
Kama Maria kafanya makosa hayo ya kiuandishi basi tatizo ni kubwa kuliko nilivyokuwa nafikiria.

Amandla....
 
Tatizo ni langu kwenye heading imekosewa badala ya living imeandikwa leaving ni typo error.
 
Na baada ya Post CCM uliondoa neno Tanzania. Linaleta tofauti kubwa. Aidha, ile ya Son of Law sio ya Maria.

Amandla...
OK, Leaving na son of law ni typo error let's go back to the message.
 
Kwahiyo unataka ligi iendelee.
Mimi nimemaliza. Ninachoku asa ni usikimbilie matusi kabla haujasoma vizuri hoja za wenzako. Ungeniambia tu nionyeshe mapungufu ninayodai yapo wala tusingefika hapa. Matusi ndio yametufikisha hapa.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…