Maria Sarungi: Samia, Kikwete and their offsprings ought to know we are leaving in Post CCM.

What Samia Suluhu, Jakaya Kikwete and their offsprings need to understand is that we are already living in Post CCM Tanzania! Whatever you think you know about manipulating internal politics of CCM will not work with the society because we are past that! So all your scheming and idiotic plans to “inherit imperial presidency” is delusional! We, the People have resolved that we want a fresh start, post CCM, with a new democratic constitution and free and fair elections! This has been decided!

View attachment 3629490

Husband: President
Wife: Member of Parliament
Son/Daughter: Minister
Son in Raw: Minister.

Ujumbe murua kabisa, waache kutufokea hii nchi sio ya kifamilia wala kifalme kuwa watawarithisha watoto wao.
kibaraka m.sarung bana 🤣
 
Mimi nimemaliza. Ninachoku asa ni usikimbilie matusi kabla haujasoma vizuri hoja za wenzako. Ungeniambia tu nionyeshe mapungufu ninayodai yapo wala tusingefika hapa. Matusi ndio yametufikisha hapa.

Amandla...
Nafikiri sasa message ya Maria umeielewa au bado.
 
Kila mtu na kibaraka wake wewe ni kibaraka wa nani.
Gentleman,
huyo si anafanya kazi na kulipwa kwa niaba ya mabwenyenye ya magharibi au?

kwahiyo ni nani sasa kwa mfano kama sio kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi?🤣
 
Nimesema kila mtu na kibaraka wake, wewe ukiwa kibaraka wa Abdul unajua lengo lake ni lipi kukutumia wewe, unafikiri Abdul yupo kwa ajili ya nchi yako Tanganyika? je unapata faida anayopata yeye, think. O
 
Kama wewe unavyolamba Mavi ya Heche na kuyaita pilau.
Wenzako wengi kama YEHODAYA Lizaboni Bia yetu faiza foxy na wengine wengi mliokuwa nao toka enzi za Jakaya walishaachana na kazi ya kulamba matako ya watawala ila wewe bado upo tu. Vipi mzee ndio ulishakosa kabisa kazi ya kufanya yenye heshima mpaka umedumu kwenye kulamba matako kwa muda wote huu?
 
Hizo internal mbogamboga power
games hazitusaidii chochote sisi wananchi.
 
TOKENI MKANDAMANE JESHI LITAWALINDA 😂😂😂😂
Ujinga, kuandamana sio lazima utoke barabarani, watu makini wanaandamana kwenye vyombo vya maamuzi kama US Senate, EU Parliament, UN, Commonwealth, na vyombo vya propaganda kama CNN, BBC polisi wenu na chui wa Mwaipopo wanabaki kulinda vituo vya oil com usiku kucha huku maamuzi yakitoka Ulaya.
 
Sasa maamuzi ya Ulaya yana Effect gani kwetu nyinyi Vibaraka?
 
What Samia Suluhu, Jakaya Kikwete and their offsprings need to understand is that we are already living in Post CCM Tanzania! Whatever you think you know about manipulating internal politics of CCM will not work with the society because we are past that! So all your scheming and idiotic plans to “inherit imperial presidency” is delusional! We, the People have resolved that we want a fresh start, post CCM, with a new democratic constitution and free and fair elections! This has been decided!

View attachment 3629490

Husband: President
Wife: Member of Parliament
Son/Daughter: Minister
Son in Raw: Minister.

Ujumbe murua kabisa, waache kutufokea hii nchi sio ya kifamilia wala kifalme kuwa watawarithisha watoto wao.
Quinine Bado hujaondoa hiyo R na kuweka L
 
Back
Top Bottom