Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mdau ana uchungu sana na Bashite na amesema huyu mtu amefanya mengi na anahusika tokea wakati wa Magufuli kufanya ukatili! Of course hii si habari mpya!😫🥺Bado siamini kabisa kama Polepole katekwa ila unyama huu wanaoendelea kuufanya hawa watu ipo siku yao inakuja kabisa na wao watalia na kusaga meno. Utawala unamwisho wake
=====================
Mdau amenisukumia taarifa hii na ni mtu mwenye taarifa za kuaminika ila sijathibitisha na independent source zingine Ila kwa mujibu wa mdau wetu kwa sasa Bashite kaja front tena na ndo maana kila mahali yupo na Mama yao na anategemewa kwenye ukatili!
Wamepanga kwa sasa kumsafirisha nje ya nchi na wanampeleka Comoros ambapo mdau anasema wapo wengine kutoka Zanzibar huko!
Anadai mdau kuwa wameamua hawamwui Polepole kwa sasa na wamesema kwa dharau “watanzania si watu wa vitendo ni kelele” ila ni kama kumwua wameona ni mapema!
Mdau ana uchungu sana na Bashite na amesema huyu mtu amefanya mengi na anahusika tokea wakati wa Magufuli kufanya ukatili! Of course hii si habari mpya!
Soma Pia: Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6
Polepole is ALIVE hii ni 💯na amehifadhiwa safe house moja wanapohifadhi maVIP (this is confirmed by 3 different sources) ! Shida hata tukiweka location hatasaidika 😓 - tutaishia kuweka viemoji vya kulia 😭 tu - so sad!
Leo marafiki na colleagues wake Polepole kimyaa na wako ktk mfumo! Mungu anajua
But ushauri kwako
View attachment 3485643
Huyo mungu hana msaada wowote. A useless mungu.Mungu tusaidie waja wako
Mtu akishaweka huo msemo wa mungu tusaidie, huwa ndio naona kwisha habari yake 😅Huyo mungu hana msaada wowote. A useless mungu.
Wanaweza kumrudisha baada ya miaka 20 akiwa mbabu aliyechokaSerikali watafanya ujinga mkubwa wa mwaka kama wataamua watamuua huyu mtu.
Mtu akishaweka huo msemo wa mungu tusaidie, huwa ndio naona kwisha habari yake 😅
Kunapotokea matukio hatarishi kama haya, sii burasa kuchapisha habari za kubuni za kuokota okota, kwa jinsi alivyotekwa ni Mdude style, wampeleke visiwa vya Comoros for what?, logic inagoma, kitu cha kufanya ni kunuomba tuu Mungu, waingie utu na huruma, awe hai!.Wamepanga kwa sasa kumsafirisha nje ya nchi na wanampeleka Comoros ambapo mdau anasema wapo wengine kutoka Zanzibar huko!
Hii ni katika kukumbushana tuu, kama ni kweli Humphrey Polepole, ametekwa na wasiojulikana, then hatma yake tuikabidhi kwa aliye JUU kwa sala na maombi.Wanabodi
Nimejitolea kuwa mwalimu wa kujitolea wa somo la katiba, sheria na haki, ili kuwaelimisha Watanzania kuhusu haki zao na wajibu wao.
Kujitolea kuwa mwalimu somo la katiba, na sheria, nimehamasishwa na yeye mwenyewe Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au? hebu msikilize mwenyewe akizungumza
View: https://youtu.be/PZ_8JFw_5LM?si=LqdibxLmRJXzlhQY ni kufuatia hoja hii, ndipo mimi nikajitolea Kipindi cha TV, Kutoa Elimu ya Katiba, Sheria na Haki, Kuanza Jumapili Hii Kupita Channel Ten
View: https://youtu.be/ZJIKhnZCf04?si=LdYf8WVJTIKw8KCu
Kanuni yenyewe ya vicarious liability ni hii
"Vicarious liability exists due to the legal doctrine of respondeat superior, which essentially means “let the master answer.” Employers, parents or others with a superior legal relationship to someone who does harm are expected to answer for those who are under their control.
Vicarious liability rules also exist in order to provide protection to victims of injury. Often, an individual employee or a child will not have the resources to provide compensation to those they harm through their negligence or wrongful actions. But companies and parents generally do.
Through the doctrine of vicarious liability, those who have resources (including the ability to buy insurance) and who were in a position to prevent harm but who failed to do so can be held accountable so victims do not go uncompensated"
Tanzania tuna bahati nzuri sana hatuna wanasheria aggressive wa kutetea watu, vinginevyo tungetumia private investigations kuwabaini hawa 'wasiojulikana' na kuwatundika msalabani, hii ingewafanya viongozi wetu kuwa more responsible for the life of its citizens.
Paskali
Hiyo hata sio option ya kuchomoka kwenye kizaa zaa zaidi kujipa moyo tuNi option ya mwisho..
Kuomba Mungu waingie utu na huruma , paskali unavituko kaka yangu.Kunapotokea matukio hatarishi kama haya, sii burasa kuchapisha habari za kubuni za kuokota okota, kwa jinsi alivyotekwa ni Mdude style, wampeleke visiwa vya Comoros for what?, logic inagoma, kitu cha kufanya ni kunuomba tuu Mungu, waingie utu na huruma, awe hai!.
Mimi kwa upande wangu naendelea kuwasisitizia