Maisha ya mitandaoni yanaweza kukufanya ukaamini huo ndio uhalisia wa maisha...
Ukibahatika kufika nchi za wazungu siku moja, anza kufungua mitandao ya wale wazungu wabaguzi, unaweza kufunga virago ukatimka kwa jinsi maudhui utakayokutana nayo, inaweza kukufanya ukawa muoga ukidhani kila mzungu barabarani anatafuta chance kukudhuru akiipata,
Lakini uhalisia wa maisha yake ni tofauti kabisa unapokuwa shuleni au kazini au hata club, kila unaemwona ni smile na salamu za bashasha....
Kwa humu JF ukisoma upupu unaoandikwa humu utadhani kabisa kesho kinanuka, kumbe ni kibodi woria sawa na wale wazungu niliowataja....,